Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Hili ni tukio la kweli kabisa.
Sehemu / Nyumba ninayoishi ni self contained vyumba viwili na public washroom/lavatory.
Sasa kuna siku mwaka jana nimekaa zangu nacheki TV nikabanwa na mkojo so mdogo mdogo nikasimama nielekee lavatory ku-empy my bladder.
Sasa ile nimekaribia mlango wa choo nikaona upo wazi nikajua huenda kuna mtu aliingia kujisaidia wakati wa kutoka akasahau kufunga, nikaona isiwe kesi nikapitiliza LAAHAULA nilichokuta sikuamini macho yangu na mpaka kesho sijajua why!
Ni kwamba nilimkuta jamaa / rafiki yangu ambae tulikua nae tunaceki tv ila alitoka nikajua kaenda kuongea na simu nje or some... nikamkuta amekaa anajisaidia kwenye choo cha kuchucumaa!π (just imagine mtu kakaa kwenye choo cha kuchuchumaa) na sio kwamba jamaa alikua na matatizo hapana ni mzima wa afya, sio kwamba ni mshamba hapana.
Niliishia tuu kusema WE UNAACHAJE MLANGO WAZI? nikatoka, jamaa alipomaliza nae akapitiliza nje na mpaka leo sijamuona tena.