Kisa cha Adam Mchomvu kumuumbua Fid Q kwenye Interview ni nini?

Adam ni janga nyingine hapo clouds wote mashosti.
 
We ndio umeelewa.

tatizo ni kwamba fid q anajiona yeye ni kama faza hataki ku hangnao au kujipendekeza. na pia enzi za vinega alikua anawasapoti chini chini
 
Huyu mtu anaonelana ana historia ya kuvuruga wenzake lakini yeye hataki kuguswa na hoja.

Violence has never been an option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…