Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane.
Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu!
Duh makubwa ya Dunia kakutana na mnara unaning'nia yaani demu ana uume. Jamaa kakimbia akipiga kelele kwa hofu ya kupelekewa. Kwa sasa yupo nchini ila anafanyiwa kanselin na demu yupo kenya kagoma kurudi nchini.
Kumbe kuna wanawake wana mashine kama wanaume ndio njmejua hi wiki!