PM nimefunga. Mkuu ukitaka heshima jiheshimu usidhani kila mwanamke aliyepo humu anajiuza. Una genye dada zako wapo huko ulipo malizana nao.
Mtoto wa kiume kuonea wivuwingi wa sms inashangaza. Hazjna malipo mkuu ni pambo tu hilo. Kila mtu ana style yake ya kuishi mitandaoni.
Duniani tupo tofauti,inashangaza kumchukia mtu kisa mapambo ya JF yasiyo na dhamani popote pale.
Take a chill pill,usijiangamize kwa chuki zisizo na faida
Anyway gazeti lote hili ni malipo ya zile kero unazokutana nazo kwenye comments zangu za aisee,duh,dah,pole yake. Sikujua huwa mnaumia hivyo
Daah nawaonea huruma sana mnaumizwa na vitu vidogo vidogo ambavyo havina faida yoyote kwenye maisha yenu wa accounts bank zenu.
Pole
inashangaza
inasikitisha sana
inawaumiza
duh
aiseee