Messages 217,327 kwa kucomment eti ( duh pole yake)
Chai😁😁Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane. Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu! Duh makubwa ya Dunia kakutana na mnara unaning'nia yaani demu ana uume. Jamaa kakimbia akipiga kelele kwa hofu ya kupelekewa. Kwa sasa yupo nchini ila anafanyiwa kanselin na demu yupo kenya kagoma kurudi nchini.
Kumbe kuna wanawake wana mashine kama wanaume ndio njmejua hi wiki!
Haha, mkuu nimecheka. Na wewe kumbe umenote..duh, aisee, Pole yake!! Anyway jf ina kila aina ya watuMessages 217,327 kwa kucomment eti ( duh pole yake)
Mnatekenyana wenyewe na baridi hii daah wakubwa mnafaidi0.5% ya messages ni zako unajaza tu server ndio maana app kila siku inastuck!
View attachment 2249760
Haha, mkuu nimecheka. Na wewe kumbe umenote..duh, aisee, Pole yake!! Anyway jf ina kila aina ya watu
Alikutana na li shemale huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane. Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu! Duh makubwa ya Dunia kakutana na mnara unaning'nia yaani demu ana uume. Jamaa kakimbia akipiga kelele kwa hofu ya kupelekewa. Kwa sasa yupo nchini ila anafanyiwa kanselin na demu yupo kenya kagoma kurudi nchini.
Kumbe kuna wanawake wana mashine kama wanaume ndio njmejua hi wiki!
Na kuna lile lipumbavu lenyewe kila thread uwaga linacoment[emoji117] ''wanakuja kukupa muongo". Haya majitu ni basi tu hayakustahili kuwepo jf, yaan mtu unashindwa kweli kuchangia la maana adi uwe mpuuzi mpuuzi kwa kucoment vifupi na reply za kujirudia daily...moderators wawaondoe hawa watu, ama vip tuanze kuwaripotiMessages 217,327 kwa kucomment eti ( duh pole yake)