Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

@Smart911
 
Mke na mume mmenikalia kooni jamani angalieni msije pigana risasi kwa wivu. sms zimezua jambo
Mnatekenyana wenyewe na baridi hii daah wakubwa mnafaidi
And that's what you're good at. Hujawahi kuwa positive minded!

Anyway, furahia jf bibie, kila mtu na life lake.
 
Ungekua positive usingejichekesha chekesha kwa kidume chenzio hapo,what a victim.Shame
And that's what you're good at. Hujawahi kuwa positive minded!

Anyway, furahia jf bibie, kila mtu na life lake.
 
m
mtu si anakoment anachojisikia, hebu punguzeni nongwa wanasema " baya lisilokudhuri ni sawa na jema lisilo na faida kwako "
 
Mbona wapo wengi tu,
Tena Tz hii hii wazuriii, ngozi laini, saa sita kifuani, hawana ndevu wala sauti nzito, kasoro tu wana madushe hapo utachagua mwenyewe kusuka au kunyoa.

Sio Chai kama mnavyodhani.
 
kucheka sio shida kujichekeaha na kuonea wivu sms laki mbili imenishangaza kumbe hizo sms zinawauma wengi.
eroni a victim.Shame
Kucheka mbele ya mwanaume mwenzangu ni shida? What do you mean 'victim'? Shame on you as well!
 
kucheka sio shida kujichekeaha na kuonea wivu sms laki mbili imenishangaza kumbe hizo sms zinawauma wengi.
eroni a victim.Shame
Basi yaishe numbing mshkaji wangu, nakuja pm kukupiga mtongozo wa karne, najua upo bitter ila nikikupiga mtongozo mzuri tutakaa sawa😛
 
PM nimefunga. Mkuu ukitaka heshima jiheshimu usidhani kila mwanamke aliyepo humu anajiuza. Una genye dada zako wapo huko ulipo malizana nao.

Mtoto wa kiume kuonea wivu wingi wa sms inashangaza. Hazina malipo mkuu ni pambo tu hilo. Kila mtu ana style yake ya kuishi mitandaoni.

Duniani tupo tofauti,inashangaza kumchukia mtu kisa mapambo ya JF yasiyo na thamani popote pale.

Take a chill pill,usijiangamize kwa chuki zisizo na faida

Anyway gazeti lote hili ni malipo ya zile kero unazokutana nazo kwenye comments zangu za aisee,duh,dah,pole yake. Sikujua huwa mnaumia hivyo

Daah nawaonea huruma sana mnaumizwa na vitu vidogo vidogo ambavyo havina faida yoyote kwenye maisha yenu wa accounts bank zenu.

Pole

inashangaza

inasikitisha sana

inawaumiza

duh

aiseee
Basi yaishe numbing mshkaji wangu, nakuja pm kukupiga mtongozo wa karne, najua upo bitter ila nikikupiga mtongozo mzuri tutakaa sawa😛
 
Nina mpango wa kusmash shemale
 
Mbona wapo wengi tu,
Tena Tz hii hii wazuriii, ngozi laini, saa sita kifuani, hawana ndevu wala sauti nzito, kasoro tu wana madushe hapo utachagua mwenyewe kusuka au kunyoa.

Sio Chai kama mnavyodhani.
Kama unaye mmoja kama best yako naomba uniunganishe naye
 
Badi yaishe mkuu,
Hapa sasa umeniandikia gazeti mkuu. Ila sina chuki wala na huwa sichukulii mambo personal...sema nikawa nazishangas hizo duh kila thread.

Mtongozo kwa ke kama wewe ni kawaida wala sio kujiuza Bwana, relax!!
 
Kapicha vipi mkuu?[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…