Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

Hongera kwa kutunga hadithi. Sasa utuambie hadithi yako ina fundisho gani kwa jamii yetu?
 
Mbona wapo wengi tu,
Tena Tz hii hii wazuriii, ngozi laini, saa sita kifuani, hawana ndevu wala sauti nzito, kasoro tu wana madushe hapo utachagua mwenyewe kusuka au kunyoa.

Sio Chai kama mnavyodhani.
Je wanaweza pia kugonga Demu na hayo Madushe yao!?
 
Huyo jamaa ni wewe usisingizie rafiki yako. Anyway ulifanya vyema kukimbia maana uliokoa hicho ulicho nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…