Kisa cha aliyegongwa na mwendokasi (Osman): Kinahuzunisha, kinafundisha na kushangaza

. NIDA waboreshe taarifa za vidole na database! Kwamba alama za vidole ziwekwe kwenye kanzudata ya taifa ili hospital wakiskani vidole taarifa za mtu na ndugu zijazwe huko.
Nakazia....!!
 
Wao wamepataje taarifa zake!?
 
Zipo clip 2 nyingine huenda hujaiona mkuu, ipo wananchi wanamrekod badala ya kumsaidia amelowa damu kalala chini na alikua anapumua iyo alionekana vzr tu ipo humu humu Jamii forum.
Kaka mimi nashinda mtandaoni sijaona clip ya pili, sitegemei huyo mke wake au undugu wa mke wawe wameiona
 
Zipo clip 2 nyingine huenda hujaiona mkuu, ipo wananchi wanamrekod badala ya kumsaidia amelowa damu kalala chini na alikua anapumua iyo alionekana vzr tu ipo humu humu Jamii forum.
Hiyo ya mwananchi watu wengi hawajaiona
 
Najiuliza tu zile finger print huwa zina kazi gani kwenye kutengeneza kitambulisho cha NIDA?
 
Samahani mkuu....
Hivi 150 miluons ni utajiri??
Kipi hujaelewa, nimekwambia nchi nyingine angekua Tajiri!

Baadaye nikasema hata hapa Africa kwa Nchi kama SA angepata kiasi hicho!

Nilidhani ungeuliza ni Nchi gani hizo ambazo zingemfanya awe Tajiri!?
 
Kipi hujaelewa, nimekwambia nchi nyingine angekua Tajiri!

Baadaye nikasema hata hapa Africa kwa Nchi kama SA angepata kiasi hicho!

Nilidhani ungeuliza ni Nchi gani hizo ambazo zingemfanya awe Tajiri!?
Usikasirike mkuu, niliuliza ili nipate uelewa boss..😊
 
Too judgemental,
Hujui Hali halisi ya hiyo familia , umaskini ni mbaya tena sana ila sio unyama...watu wengi maskini Wana roho nzuri na wanafuraha kuliko wenye mipesa na miradi mikubwa
 
Too judgemental,
Hujui Hali halisi ya hiyo familia , umaskini ni mbaya tena sana ila sio unyama...watu wengi maskini Wana roho nzuri na wanafuraha kuliko wenye mipesa na miradi mikubwa
YAMKINI upo sahihi kwa maoni yako
 
:

  1. Jamaa ni Mkurya (Muislamu) anakaa Tabata.
  2. Ana watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine ana mitatu/miwili wa kike.
  3. Jamaa na mke wake wa ndoa walitoka mbali sana, lakini akamrudia baada ya kupata kazi karibu na kwake.
  4. Jamaa amepanga nyumba nzima.
  5. Mkewe alibadili dini kuwa Muislamu ili aolewe na jamaa.
  6. Mkewe ana miaka 29, jamaa anaonekana ana zaidi ya miaka 40.
  7. Wanakutana kila siku hapo mbili na mke wa pili haji na chochote, lakini wakwanza ndio anakuja na chakula.
  8. Mke wa kwanza anasema angekuwa na uwezo angeondoka, lakini anaona ugumu kwa sababu wote wapo katika majaribio. Bibie anapofika, anasema yeye ndio mke halali.
  9. Jamaa ni mchoyo wa lifti, lakini si mbaya kwa sababu hawamwombi.
  10. Jamaa anawalea watoto wake sana, anawajali sana. Hata mke wa kwanza anapewa kila kitu, tena vyakula, mavazi, na kodi ya shilingi 350,000 kwa mwezi. Jamaa anatoa bila shida, lakini ndivyo ilivyo kwamba hataki mkewe wa kwanza, ndio sababu ana mpenzi mwingine, lakini kila siku asubuhi lazima aje kuona watoto wake, kisha awachukue awazungushe mtaani kwa kutumia gari lake alilopata kwa bahati mbaya, kisha awarudishe nyumbani. Baada ya hapo, anaingia chumbani na kusinzia hadi kesho.
  11. Anacholalamika mke wake ni kwamba amezoea sana kuwa na watu/vijana, ambao wanamsimamisha mara kwa mara, na kucheka sana na vijana bila yeye kujali kama ni mke wa mtu. Hilo linamkera.
  12. Ana shepu nzuri, yeye ni mluguru (mweusi).
  13. Kama unapenda wivu, huwezi kuishi naye kwa sababu ana tabia ya kujumuika na washikaji sana.
  14. Mkewe ni yule ambaye anasema kwamba hataki mume wake awe na tabia ya kuwa na rafiki za kiume.
  15. Mkewe ni mtu wa Dua sana.
  16. Yeye ni mama wa nyumbani hana kazi wala biashara.
  17. Anampenda sana mumewe, akitoka kwake, hatapata mwingine kama yeye.
  18. Ila jamaa ni kimya halina stori na mtu mtaani. Ni mtu mwenye kitu moyoni/maumivu.
  19. Sasa akitoka hospitali atakuwa na mawazo mawili: either yule mchepuko ana gundu/mkosi nae au uyo mke wa kwanza amemloga au laana kutoka kwa mkewe. Tutajua tuu.
  20. NDOA NI SIRI SANA. Jamaa anaonekana ana mengi ila kamwe hataki kutulia na kwenda kwingine kutuliza akili.
 
Ndoa yao kama haina miaka 9 basi 12
 
Ndiyo maana aligongwa kwa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…