JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Na ni wazi huyo muathirika wa ajali akipewa fedha kama hiyo, anaweza hata kupagawa. Ile chapu mke wa pili na wa tatu huyu.Basi sawa mkuu, mie niliuliza swali tu ili nipate ufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni wazi huyo muathirika wa ajali akipewa fedha kama hiyo, anaweza hata kupagawa. Ile chapu mke wa pili na wa tatu huyu.Basi sawa mkuu, mie niliuliza swali tu ili nipate ufahamu
Nakazia....!!. NIDA waboreshe taarifa za vidole na database! Kwamba alama za vidole ziwekwe kwenye kanzudata ya taifa ili hospital wakiskani vidole taarifa za mtu na ndugu zijazwe huko.
Wao wamepataje taarifa zake!?Umeandika mambo mengi yaliyojaa hisia tupu.
Kwani wewe kwanini huamini kwamba mke wake aliagwa kama hatorudi nyumbani atasafiri?
Kwani amepata ajali feri kwenye kivuko hadi apatwe na taharuki?
Inawezekana akisafiri hawafanyi mawasiliano ya marakwamara hivyo kukitokea tatizo inakua ngumu kutambua.
Kwani wewe tukikuambia utupe hiyo video iliyoonekana mtandaoni unaweza ukagundua kama yule mtu ninani?
Unafikiri kama familia walijua wakaamua kunyamaza(jambo ambalo nihisiatu) je majirani walisema wakaambiwa tulieniiiii?
Video ile sidhani kama unaweza ukamtambua yule ninani
KabisaIshu ya information kusaka taarifa ni kwa zile Jamii zilizostaarabika. Na sio uswahili wao uchagua taarifa za kuzifatilia.
Umasikini unaleta roho mbaya
Kaka mimi nashinda mtandaoni sijaona clip ya pili, sitegemei huyo mke wake au undugu wa mke wawe wameionaZipo clip 2 nyingine huenda hujaiona mkuu, ipo wananchi wanamrekod badala ya kumsaidia amelowa damu kalala chini na alikua anapumua iyo alionekana vzr tu ipo humu humu Jamii forum.
Hiyo ya mwananchi watu wengi hawajaionaZipo clip 2 nyingine huenda hujaiona mkuu, ipo wananchi wanamrekod badala ya kumsaidia amelowa damu kalala chini na alikua anapumua iyo alionekana vzr tu ipo humu humu Jamii forum.
Kipi hujaelewa, nimekwambia nchi nyingine angekua Tajiri!Samahani mkuu....
Hivi 150 miluons ni utajiri??
Usikasirike mkuu, niliuliza ili nipate uelewa boss..😊Kipi hujaelewa, nimekwambia nchi nyingine angekua Tajiri!
Baadaye nikasema hata hapa Africa kwa Nchi kama SA angepata kiasi hicho!
Nilidhani ungeuliza ni Nchi gani hizo ambazo zingemfanya awe Tajiri!?
YaaniNajiuliza tu zile finger print huwa zina kazi gani kwenye kutengeneza kitambulisho cha NIDA?
[emoji1787]Fikiria tu huyo dereva alivyokuwa anapiga picha mke wake anavopelekewa moto ikichomoka anairudisha kwa kuichomeka. Hata mimi ningesababisha ajali.
# kataa ndoa
dronedrake
Ila mjini maisha magumu. Inafikia wakati mtu hata kumiliki kiswaswadu anashindwa! Sio poa jamani.
Watu wengi wanaforce sana kuishi dar
Hilo nalo nenooWatu wengi wanaforce sana kuishi dar
Too judgemental,Ajali ya mwendokasi ilyotokea wiki moja iliyopita maeneo ya kisutu ina shangaza mengi!
Ajali ile ilitokea majira ya asubuhi na kuhusisha gari dogo kugongana na mwendokasi ulikochangia majeruhi kadhaa akiwemo bwana mmoja aliyekuwa mtembea kwa miguu (Osman)
Taarifa za vyombo vya habari, report za hospital na report za kipolisi zilieleza wazi kila kitu kilichojili (sitarudia)
Takribani karibu siku saba baadae zimepita hadi Jana 27 February 2023! Taarifa za hospital ziliendelea kueleza HAKUNA MTU aliyejitokeza kwenda kumtambua mhanga wa ajali (bwana OSMAN)
Baada ya taarifa ya hospital kutaja kwamba yule mtu kazinduka! Ufahamu umerejea! Leo tarehe 28 ndipo Tunamshuhudia mke wa Osman pamoja na ndugu akijitokeza kumtambua (Yote ni kheri ya Mungu).
Tunashukuru ndugu wamepatikana, lakini kupatikana kwao kwa vyovyote vile kunaibua maswali mengine ingawa tunashukuru wamepatikana!
Simulizi za mke wa Osman!
Mama huyu kwa mara kwanza kasikika akisimulia kwamba hakuwa na taarifa Yoyote hadi pale shemeji yake jana alipomtaarifu kwamba, Taarifa za hospital zinazomtaja OSMAN (wanahisi Osman anayetajwa kupata nafuu hospital ni ndugu yao)!
Mke wa OSMAN Anaendelea kusimulia kwamba, Siku ya tukio, mmewe alimuaga kama kawaida yake kwamba anakwenda kibaruani (kwamba OSMAN anajishughulisha na kubeba mizigo hapo Ferry) kwamba alimuaga kuwa huenda anatarajia kusafili na chombo siku hiyo kwa siku kadhaa!
Haya ni maelezo ya mkewe OSMANI!
Maelezo hayo yanaukweli mwingi kwamba huenda ni kweli kwamba alijua mme wake kasafili ndiyo maana hakuwa na wasiwasi kwamba atarudi!
Lakini maelezo hayo hayawezi kuwa kweli pasipo kusindikizwa na style yao ya maisha, history, uhusiano wao kama familia!
Ni kweli alisafili kama alivyoaga, je baada ya siku ya kwanza, ya pili ya tatu mke na ukoo wao wote na majilani hawakuona ya mtandaoni kiasi cha kushituka?
Sawa mke hana simu je majilani na ndugu hawakuona angalau kufananisha fananisha?
Majibu ya hayo yote ni mepesi tu kwamba UMASKINI HULETA TABIA YA KINYAMA!
Ninaposema tabia ya kinyama sina maana tabia ya kikatili bali namaanisha Umasikini huzalisha tabia yakutojali!
- YAMKINI KWASABABU YA UMASKINI huenda ndugu na jamaa waliamini yule jamaa kakata moto hivyo wakaamua kukausha! (May be)
- YAMKINI kwakuogopa bili ya hospitali (gharama za matibabu) mke,ndugu na jamaa waliamua kukausha! (May be)
- YAMKINI kwa tabia za maisha yao ni kama UMEME WETU, kwamba mme akiondoka haagi na akirudi tunashangilia huooo! (May be)
- YAMKINI SASA BAADA YA KUSIKIA KAZINDUKA (OSMAN) Familia na ndugu wameogopa kwamba atawaumbua kwa kuwataja! Hivyo sasa wamejitokeza chapu! (May be)
- YAMKINI huyu wameona huyu mtu kapona sasa huenda kuna matunda mbele ya misaada (may be)
Tunashukuru ndugu wamepatikana lakini YAMKINI ...na may be ....Havitaacha kugonga vichwani mwa watu wengi.
Yote kwa yote mipango ya Mungu haina makosa , Na kila uzao hauwezi kupatikana pasipo kutungwa mimba!
Ajali ya mwendokasi ilikuwa mimba ya kumuumba OSMAN MPYA!
Mimba ile ilutungwa kwa mwenye gari dogo! Taarifa za kipelelezi zinaonesha yule mwenye gari dogo alikuwa na mgogoro na mkewe uliomjaza stress!
Stress za mapenzi kwa dreva wa gari dogo zilimfanya apoteze umakini barabarani (uzembe)
Hadi pale alipokatiza hovyo na kugonjwa na mwendokasi! Kulikopelekea gari la mwendokasi kwenda kumgonga bwana OSMAN!
MBIO ZA YULE MLINZI HAZIKUWA NA FAIDA, BALI MIMBA Ile ilikuwa kwa ajili ya kumzaa OSMAN MPYA!
Tumuombee apone mapema!
USHAURI!
1. HOSPITALI ZINAPOTANGAZA KUTAFTA NDUGU wasiache kutamka wazi kwamba HAKUNA DENI WALA BILI KWA NDUGU! Ikiwezekana anayejitokeza waseme watamsaidia kumsafilishia mgonjwa hadi nyumbani! (Hili litasaidia watu wasiwe wanauchuna na kutelekeza ndugu na jamaa)
2. NIDA wapoleshe taarifa za vidole na database! Kwamba alama za vidole ziwekwe kwenye kanzudata ya taifa ili hospital wakiskani vidole taarifa za mtu na ndugu zijazwe huko
Heri maskini wa roho kuliko maskini wa mali maana ni rahisi sana kukosa ufalme duniani na mbiguni!
Tubuni na kuiamini injili
YAMKINI upo sahihi kwa maoni yakoToo judgemental,
Hujui Hali halisi ya hiyo familia , umaskini ni mbaya tena sana ila sio unyama...watu wengi maskini Wana roho nzuri na wanafuraha kuliko wenye mipesa na miradi mikubwa
Ndoa yao kama haina miaka 9 basi 12
- Jamaa ni Mkurya (Muislamu) anakaa Tabata.
- Ana watoto wawili, mmoja wa kiume na mwingine ana mitatu/miwili wa kike.
- Jamaa na mke wake wa ndoa walitoka mbali sana, lakini akamrudia baada ya kupata kazi karibu na kwake.
- Jamaa amepanga nyumba nzima.
- Mkewe alibadili dini kuwa Muislamu ili aolewe na jamaa.
- Mkewe ana miaka 29, jamaa anaonekana ana zaidi ya miaka 40.
- Wanakutana kila siku hapo mbili na mke wa pili haji na chochote, lakini wakwanza ndio anakuja na chakula.
- Mke wa kwanza anasema angekuwa na uwezo angeondoka, lakini anaona ugumu kwa sababu wote wapo katika majaribio. Bibie anapofika, anasema yeye ndio mke halali.
- Jamaa ni mchoyo wa lifti, lakini si mbaya kwa sababu hawamwombi.
- Jamaa anawalea watoto wake sana, anawajali sana. Hata mke wa kwanza anapewa kila kitu, tena vyakula, mavazi, na kodi ya shilingi 350,000 kwa mwezi. Jamaa anatoa bila shida, lakini ndivyo ilivyo kwamba hataki mkewe wa kwanza, ndio sababu ana mpenzi mwingine, lakini kila siku asubuhi lazima aje kuona watoto wake, kisha awachukue awazungushe mtaani kwa kutumia gari lake alilopata kwa bahati mbaya, kisha awarudishe nyumbani. Baada ya hapo, anaingia chumbani na kusinzia hadi kesho.
- Anacholalamika mke wake ni kwamba amezoea sana kuwa na watu/vijana, ambao wanamsimamisha mara kwa mara, na kucheka sana na vijana bila yeye kujali kama ni mke wa mtu. Hilo linamkera.
- Ana shepu nzuri, yeye ni mluguru (mweusi).
- Kama unapenda wivu, huwezi kuishi naye kwa sababu ana tabia ya kujumuika na washikaji sana.
- Mkewe ni yule ambaye anasema kwamba hataki mume wake awe na tabia ya kuwa na rafiki za kiume.
- Mkewe ni mtu wa Dua sana.
- Yeye ni mama wa nyumbani hana kazi wala biashara.
- Anampenda sana mumewe, akitoka kwake, hatapata mwingine kama yeye.
- Ila jamaa ni kimya halina stori na mtu mtaani. Ni mtu mwenye kitu moyoni/maumivu.
- Sasa akitoka hospitali atakuwa na mawazo mawili: either yule mchepuko ana gundu/mkosi nae au uyo mke wa kwanza amemloga au laana kutoka kwa mkewe. Tutajua tuu.
- NDOA NI SIRI SANA. Jamaa anaonekana ana mengi ila kamwe hataki kutulia na kwenda kwingine kutuliza akili.
Ndiyo maana aligongwa kwa stress