Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
.
Soma kisa hiki Cha (Bint wa mfalme)
Mfalme alitangaza kuwa anahitaji kijana ambae atamuoa binti yake, mfalme alikuwa akihishi uko milimani kwahiyo vijana walipewa taarifa kuwa Mfalme anamuoza bint yake kwa kijana jasiri.. Vijana wakaanza kupambania kombe.. ila sharti ilikuwa moja tu.
unapotoka nyumbani kwenu isigeuke nyumba na utakapofika mlimani utasikia (watu wengi wakisema Muue huyo, mkate shingo, mkate mikono n.k ila usigeuke nyuma.
Kijana alifanya alivoelekezwa na akugeuka nyuma na akujali aliyoyasikia ,vijana wengi walishindwa hicho kitu wakahamua kugeuka nyuma na kugeuka kuwa mawe.
👉Kijana iliyekwenda bila kujali zile kelele na vitisho vikali, alifika kwa mfalme . Mfalme alimpongeza yule kijana.
🤔Maana angegeuka nyuma nadhani leo hii usingekuwa unasoma simulizi hii, walio geuka nyuma waligeuka mawe.
Kijana yule alifaulu ule mtihani na akapewa binti mwana wa mfalme na kufanyiwa sherehe kubwa mno, na kijana yule aliambiwa ukiwa unarudi nyumban kila jiwe utakalo kutana nalo we liguse watageuka watu, hao ndio vijana walioshindwa kufika uku waligeuka na kupoteza vigezo vya kufika huku.
⭐kweli kijana kila alipolkuwa akigusa jiwe lilibadilika na kuwa mwanadamu..
kwenye sherehe ya kijana huyo ilikuwa na watu wengi. Sana...
👇👇👇👇
Usikate tamaa unapokuwa unapambana.. watakusema sana na mwisho watakukatisha tamaa ila siku umetoboa hao ndo machawa baadae.
🙏
..... Never Give Up..
Written by @Hemedyjrjunior