Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Ngoja ufukuzwe kaziUmetisha mwamba...Umenifanya nicheke kwa nguvu Ofcn !
Wivu na stress za walimu zilifanya nitimuliweHa ha ha ha yaani nimeimagine darasa lipo kimya afu inaskika sauti yako tu aisee,ila sijaona sababu ya wewe kufukuzwa shule mbona hilo ni kosa minor
Aisee pole sanaWivu na stress za walimu zilifanya nitimuliwe
Asante mkuuAisee pole sana
Soma idUzi umeharibu uliposema ulifukuzwa shule, ishaonekana chai sasa