The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,855 Reaction score 28,752 Aug 14, 2026 #21 Wanasheria mtusaidie hapa,kwa ushahidi wa hizo messages huyu jamaa hawezi kuchomoka kwenye case ya mauwaji? Inasikitisha halafu ndiyo kwanza ana 36
Wanasheria mtusaidie hapa,kwa ushahidi wa hizo messages huyu jamaa hawezi kuchomoka kwenye case ya mauwaji? Inasikitisha halafu ndiyo kwanza ana 36
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Aug 15, 2026 #22 Hapo ukija kuchunguza kwa kina utashangaa aliyeivuruga hii familia ni boya mmoja tu hivi ambaye hana future yoyote ile! Haya mambo yanaumiza sana. Kuna watu huwa hawana kabisa hofu kwenye kuharibu ndoa za watu.
Hapo ukija kuchunguza kwa kina utashangaa aliyeivuruga hii familia ni boya mmoja tu hivi ambaye hana future yoyote ile! Haya mambo yanaumiza sana. Kuna watu huwa hawana kabisa hofu kwenye kuharibu ndoa za watu.