Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Navykenzo walikuwa wana simamiwa na Sallam SK Lakini walizid kushuka kimziki mpaka wameamua kujitoa kwake,sasa hapo Unasemaje,sema hivi wale mameneja wote wana tembelea nyota ya Mond ndo kinacho Fanya tuwaone kama ni vichwa kumbe tu ni mchwa ulio jificha pale WCB kunyonya wale wasanii pale.Siku Hamonize akitoa wimbo kila kitu kitabaki uchi kwa sasa tutaongea mengi lakini wakati utasema kweli.
Combination ya Fella+Tale+Sallam ni future ya entertainment industry ningekuwa ni mimi nisingekaa mbali na awa watu.
Katoa wimbo unaitwa inabana kumbe ujui? Na imeshindwa kufanya vizuri kuanzia viewers mpaka mtaani ndo ujue nguvu ya WCB ilikuwa ilikuwa inambeba sanaZote, Maana Mpaka Sasa Hajatoa Ngoma Ika-flop
Unaongea utumbo Sana eti style za Melody za harmo amempita Mondy?aah aah harmo anamwiiga Mondy Kila kitu Hana kitambulisho chake Cha mziki.Usichokijua ni
Dogo janja wakati yupo chini ya madee, karibia nyimbo zoote alitungiwa na madee ikiwa pamoja na na promo na kila kitu na ndomana wakati ule mistari ya wakati ule ilikua ya kiutu uzima ilikua tofauti na umri wake
Ukija kwa hamo , hamo amemsaidia sana diamond hasa kwenye uandishi, hata style za melody hamo amempita dai mbali sana
Mziki wa dai ni mwepesi sana na ndio maana bila kick za insta aufiki mbali
Mboso habadiliki Melody za mziki wake kama zinafanana hivi...!! Yani ukisikia nyimbo zake zina mahadhi yanayofanana ila Harmonize anabadilika sana sanaa yaniDiamond alimchukua harmonize kwasababu alimuona ni threat kama atakua atakuja kumfunika. Ila harmonize ajiangalie sana jembe ni jembe ni mnafiki sana atakuja kumuacha kwenye mataa atashangaa. WCB wanaweza kumkuza mbosso kuja kuziba pengo la harmonize
Mboso kama AslayMboso habadiliki Melody za mziki wake kama zinafanana hivi...!! Yani ukisikia nyimbo zake zina mahadhi yanayofanana ila Harmonize anabadilika sana sanaa yani
Kabisaa...!!Mboso kama Aslay
Kwahiyo Views Ndo Mziki,Katoa wimbo unaitwa inabana kumbe ujui? Na imeshindwa kufanya vizuri kuanzia viewers mpaka mtaani ndo ujue nguvu ya WCB ilikuwa ilikuwa inambeba sana
Wewe ni mtu wa chukiMsimpe kiki huyo harmonize
binafsi hata kumuongelea sipendi
Imebumaje wakati ulikuwa usikika mtaani lakini pia ulikuwa una viewers wengiKwahiyo Views Ndo Mziki,
Hivi Mbona Kizazi Hiki Mmekuwa Viazi Sana.
Kwanza Huo Wimbo Ni Kolabo Ya Pamoja Na Eddy Kenzo.
Ishtoshe Ni Kawaida Tu. Mbona Diamond Na Rayvanny Wametoa Wimbo Wao "Timua Vumbi" Umebuma Hamzungumzi ?
Kumkuza mbosso ili azibe pengo la harmonise sio rahisi. Kwasababu uwimbaji wa mbosso ni Kama vile anawaimbia watu wa Mombasa Zanzibar comoro na shelisheli, wakati wa harmonise anawaimbia watu wa dunia mzima hasa vijana, Kama vile Tanzania Ghana Nigeria marekani Uganda Mozambique and South Africa.Diamond alimchukua harmonize kwasababu alimuona ni threat kama atakua atakuja kumfunika. Ila harmonize ajiangalie sana jembe ni jembe ni mnafiki sana atakuja kumuacha kwenye mataa atashangaa. WCB wanaweza kumkuza mbosso kuja kuziba pengo la harmonize
Kiufupi harmo hatakuja kutoa hit Kali tena Kama mwanzo cos mashabiki wa wasafi wengi waliokuwa wanamsapoti wamemuacha hata ukiangalia ile attention alizokuwa anaipata WCB sasa haipatiKwahiyo Views Ndo Mziki,
Hivi Mbona Kizazi Hiki Mmekuwa Viazi Sana.
Kwanza Huo Wimbo Ni Kolabo Ya Pamoja Na Eddy Kenzo.
Ishtoshe Ni Kawaida Tu. Mbona Diamond Na Rayvanny Wametoa Wimbo Wao "Timua Vumbi" Umebuma Hamzungumzi ?
Me namuona rayvanny ndo atafanya vizuri Sana nimeona hata hi ngoma yake ya gimi dati inafanya vizuri Sana nje ya nchi na ndani na ni msanii anayebadilika Sana.Kumkuza mbosso ili azibe pengo la harmonise sio rahisi. Kwasababu uwimbaji wa mbosso ni Kama vile anawaimbia watu wa Mombasa Zanzibar comoro na shelisheli, wakati wa harmonise anawaimbia watu wa dunia mzima hasa vijana, Kama vile Tanzania Ghana Nigeria marekani Uganda Mozambique and South Africa.
Usichokijua ni
Ukija kwa hamo , hamo amemsaidia sana diamond hasa kwenye uandishi, hata style za melody hamo amempita dai mbali sana
Mziki wa dai ni mwepesi sana na ndio maana bila kick za insta aufiki mbali
Siku Hamonize akitoa wimbo kila kitu kitabaki uchi kwa sasa tutaongea mengi lakini wakati utasema kweli.
Combination ya Fella+Tale+Sallam ni future ya entertainment industry ningekuwa ni mimi nisingekaa mbali na awa watu.
Huyo jamaa akili Hana achana nayeHuu ni uchawi sasa. Yaani huyu Diamond aliyeanza kuhit 2009 huko kasaidiwa na huyu Harmo was 2015?
Umenena vyema kabisa mbona hawafanya vizur hadi tiptop connection nayo Imekufa ikiwa mikonon mwake tale afu fela naye tmk hawafanyi vyema tenaSalaam Anamsimamia AY Hatuoni Jipya !
Kwa Navy Kenzo Hatuoni Jipya !
Babu Tale Ni Takataka, Anasafiria Nyota Ya Abdu Bonge.
Wasanii Waliopita Kwake Kibao Na Hawana Jipya Lolote.
Kila Mtu Kwenye Maisha Ana Nafash, ACHENI KUABUDU WATU !
We umejuaje ameangalia maslahi wakati yeye hajawahi kulisema hiliDogo ameangalia maslahi zaid
Lazima Wamuwaze Maana,
Alikuwa Anaongoza Kwa Kuingiza Mapato WCB,
Ndio Msanii Mwenye Nyota Kali WCB Kwa Kutoa Hits Ambazo Diamond Mwenyewe Akawa Analazimisha Awemo Kama Kolabo Ili Aendelee Kusikika
Harmonize ameenda kujiajiri ni sawa na mtu kuacha kazi na kwenda kuanzisha biaashara yake
Sasa kelele za nini?