Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Navykenzo walikuwa wana simamiwa na Sallam SK Lakini walizid kushuka kimziki mpaka wameamua kujitoa kwake,sasa hapo Unasemaje,sema hivi wale mameneja wote wana tembelea nyota ya Mond ndo kinacho Fanya tuwaone kama ni vichwa kumbe tu ni mchwa ulio jificha pale WCB kunyonya wale wasanii pale.Siku Hamonize akitoa wimbo kila kitu kitabaki uchi kwa sasa tutaongea mengi lakini wakati utasema kweli.
Combination ya Fella+Tale+Sallam ni future ya entertainment industry ningekuwa ni mimi nisingekaa mbali na awa watu.