Kisa cha Harmonize kukimbia WCB Wasafi na kisa cha Dogo janja kumkimbia Madee Ali

Katoa wimbo unaitwa inabana kumbe ujui? Na imeshindwa kufanya vizuri kuanzia viewers mpaka mtaani ndo ujue nguvu ya WCB ilikuwa ilikuwa inambeba sana
Hahaaa huo wimbo dogo kaingia ugomvi mpaka na Chameleon. Alijua litakuwa bonge la hit, kafuta verse ya Chameleon kwa dharau na kumweka Eddy Kenzo, kilichofuata ndio hivyo muisikiavyo mtaani.

Ushauri wangu tu, Harmonize ajitahidi sana nionavyo mziki wa Bongo kuwa alone ni ngumu sana kuwa top kwa muda mrefu. Hata Diamond kinachombeba ni zile ft na wasanii wake vinginevyo angeshindwa kuwa top for almost 10yrs.

Hebu muone Aslay, kazi alizofululiza miaka 3 iliyopita imekuwa kama ndio peak yake imepita since he is single.
 
Hapo kwenye ft na wasanii wake nakubishia mondi anafanya mziki unaopendwa na watu wengi ndo maana Kila ngoma anayotoa lazima ihit mtaani.
 
hakuna msanii bongo mpaka saizi ambaye anaweza kutoa wimbo kama halleluy,african beuty ngoma ukiziskiliza kama zimetoka jana hakuna msanii atakae weza kukaa nafasi ya mond tumpe tu heshima yake. huyo harmo ni kama dulla makabila tu
 
Ndio Msanii Mwenye Nyota Kali WCB Kwa Kutoa Hits Ambazo Diamond Mwenyewe Akawa Analazimisha Awemo Kama Kolabo Ili Aendelee Kusikika
Kwanini basi ziwe zina-hit zile anazofanya collabo na Diamond na zingine zibaki kwenye level ya kawaida?! Kusoma hujui, hata picha ukutani huzioni?! Manake yule mwenye angalau macho ya kuona picha ukutani anafahamu ukishafanya collabo na Diamond uta-hit tu, na mfano wa karibuni kabisa ni Innos'b !
 
Lazima Wamuwaze Maana,

Alikuwa Anaongoza Kwa Kuingiza Mapato WCB,

Ndio Msanii Mwenye Nyota Kali WCB Kwa Kutoa Hits Ambazo Diamond Mwenyewe Akawa Analazimisha Awemo Kama Kolabo Ili Aendelee Kusikika
Yaani Diamond asiongoze kwa mapato halafu aongoze Harmonize ati??

Sijui hizo ratings/numbers unazitoa wapi? tupe hiyo breakdown yaan mchanganuo upi unakufanya useme hivyo...?
 
Ukija kwa hamo , hamo amemsaidia sana diamond hasa kwenye uandishi, hata style za melody hamo amempita dai mbali sana
Nyie watu mlioanza kufuatilia muziki baada ya Tecno kuingia sokoni mnachekesha si kidogo! Yaani Harmonize anayekopi kila kitu kutoka kwa Diamond ndo unayesema kampita mbali sana Diamond?! Hivi mtu usipokuwa na sikio la umakini unaweza kutofautisha uimbaji wa Diamond na Harmonize ambae ni 95% clone ya Diamond!
Mziki wa dai ni mwepesi sana na ndio maana bila kick za insta aufiki mbali
Siwezi kutaja za zamani manake unaweza kudai umesahau, mimi nataja za karibu kabisa! Mwaka huu ngoma ambazo hajashirikisha mtu ni Kanyaga na The One, na pia kuna Inama aliyomshirikisha Fally Ipupa! Unaweza kutaja kila wimbo hapo ulitoka baada ya kiki ipi?! Nauliza hilo suala manake watu mmekariri sana, na mkiulizwa hamkawagi kusema "hata yeye mwenyewe kasema anapenda kiki!"
 
Kwahiyo Views Ndo Mziki,

Hivi Mbona Kizazi Hiki Mmekuwa Viazi Sana.

Kwanza Huo Wimbo Ni Kolabo Ya Pamoja Na Eddy Kenzo.

Ishtoshe Ni Kawaida Tu. Mbona Diamond Na Rayvanny Wametoa Wimbo Wao "Timua Vumbi" Umebuma Hamzungumzi ?
Kumbe hupimi kwa Views, unatumia vigezo gani basi? Kama ni uimbaji, Harmonize ni clone ya Diamond!! Na kimsingi ni clone ya Diamond hata kwa swaga!!
 
Yan harmonize kamsaidia Diamond.. Au umelogwa acha ushabiki wa uteam harmonize Leo anapata support ya mashabiki wa Alikiba ndo mnatumia nguvu nying kumshabikia.
 
Kumbe hupimi kwa Views, unatumia vigezo gani basi? Kama ni uimbaji, Harmonize ni clone ya Diamond!! Na kimsingi ni clone ya Diamond hata kwa swaga!!
Mkuu tafuta ajira http://ajiraalerts.com

Diamond alimwona Harmonize fursa, akawekeza kwake.

Uwekezaji Wake Umemlipa Na Kapata Mpaka Faida, Sasa Kitu Gani Tena Bado Anataka ?

Vijiswahili Bana
 
Harmonizee kwa sasa ni kama maji na mashabiki wake tunasubiri mangoma makali makali yasiyohitaji kick za kipuuzi ili ziwe kwenye chart
Kwatarfa yako we team kiba uliyorudisha mapenz yako kwa harmo...ni kwamba hata toa hit kar ya kuifunika ile kwangwaru kpnd yupo usafini subil next week anaachia ngoma na wizkid uione itafanya nini..ukiwa wasafi unatembelea nyota ya Diamond nahapa Bongo hamna mtu mwenye nyota kar kama ya huyo jamaa. Mashabik wa kiba mnanifurahsha vp mkisikia ilkuwa mbinu ya kumpteza kiba ili tension yote mhamishie kwa harmo km mlivyo fanya...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Views Ndo Mziki,

Hivi Mbona Kizazi Hiki Mmekuwa Viazi Sana.

Kwanza Huo Wimbo Ni Kolabo Ya Pamoja Na Eddy Kenzo.

Ishtoshe Ni Kawaida Tu. Mbona Diamond Na Rayvanny Wametoa Wimbo Wao "Timua Vumbi" Umebuma Hamzungumzi ?
We mpuuzi kweli ukiambiwa utafte wimbo ulio buma utatafta vumbi ya rayvann mzik unausikilizia chooni nini[emoji23]
 
Mkuu tafuta ajira http://ajiraalerts.com

Diamond alimwona Harmonize fursa, akawekeza kwake.

Uwekezaji Wake Umemlipa Na Kapata Mpaka Faida, Sasa Kitu Gani Tena Bado Anataka ?

Vijiswahili Bana
Ile ni Bongo flavour siyo Biashara ya mitumba.
Sembuse mtu anapanic aktolokwa na housegal wake aliemtoa kijijin akiwa kachakaa kampendezesha ss kadamxhi kmjin mjin..anakula chocholo. Kibnadam ni Lazma uumie tatzo watu wanamuona Diamond km kfaa cha umeme yan ye hana moyo hajuw maumivu ni nini...aliko mtoa harmonize ye ndo anapajua.
 
Mwambie Akuchukue Wewe Au " Le Mutuz" Ili Mfikie Kama Harmonize
 
Yan harmonize kamsaidia Diamond.. Au umelogwa acha ushabiki wa uteam harmonize Leo anapata support ya mashabiki wa Alikiba ndo mnatumia nguvu nying kumshabikia.
Na mashabiki wa Kiba wenyewe walivyo kigeu geu! Few years ago woooooote walihamia kwa Darasa lakini leo Darasa wamemkimbia! Yaani wanatapatapa kama kuku wa kienyeji aliyechinjwa kwa kisu kikali na kuachiwa hapo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…