Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,063
- 2,874
Hahaaa huo wimbo dogo kaingia ugomvi mpaka na Chameleon. Alijua litakuwa bonge la hit, kafuta verse ya Chameleon kwa dharau na kumweka Eddy Kenzo, kilichofuata ndio hivyo muisikiavyo mtaani.Katoa wimbo unaitwa inabana kumbe ujui? Na imeshindwa kufanya vizuri kuanzia viewers mpaka mtaani ndo ujue nguvu ya WCB ilikuwa ilikuwa inambeba sana
Ushauri wangu tu, Harmonize ajitahidi sana nionavyo mziki wa Bongo kuwa alone ni ngumu sana kuwa top kwa muda mrefu. Hata Diamond kinachombeba ni zile ft na wasanii wake vinginevyo angeshindwa kuwa top for almost 10yrs.
Hebu muone Aslay, kazi alizofululiza miaka 3 iliyopita imekuwa kama ndio peak yake imepita since he is single.