Kisa cha Harmonize kukimbia WCB Wasafi na kisa cha Dogo janja kumkimbia Madee Ali

Sema unatania! Yaani amuone threat mtu ambae wakati huo alikuwa anauza chai tu Kariakoo na asiwaone threats wasanii ambao tayari walikuwa kwenye game?!
Mkuu unaona kilichotokea ndicho diamond alichokiona aliamini kama mtu atatokea akamkuza harmonize basi harmonize anaweza kuja kumpiku kwenye soko hii kitu hufanyika kwenye biashara kama unaona kuna kampuni mnazalisha bidhaa sawa ana inaweza kuja kutoa ushindani basi solution ni kuifanyia figisu iyo kampuni kwa kuinunua
 
They can create him hivi vitu vinafundishika mkuu
 
Mboso habadiliki Melody za mziki wake kama zinafanana hivi...!! Yani ukisikia nyimbo zake zina mahadhi yanayofanana ila Harmonize anabadilika sana sanaa yani
they can teach him kama unamuonaga harmonize alikua hadi anaiga uongeaji wa diamond
 
Mkuu huu uandishi wako sio mzuri au ndo harmonize amewavuruga
 
Harmoniser hawezi kuwika tena, WCB wanatumia uchawi sana ambao harmo hana, atashuka, diamond anatumia ucchawi wa Kongo
 
Ha ha ha,,

Nenda kamwambie, lala salama, nilewe, moyo wangu, nitarejea, nmpende nani, my number one, nana,, kesho.

Ivi unajua unachokisema kwel..???

WCB karibia woote,, anayetoa nyimbo na Mond ndo inakua top of top hitsong kwa uyo msaniii
 
Mkuu mbona hii ndo sababu ya hiyo kiki wala sio kweli kwamba katoka wasafi no ni kiki ili kumpoteza kiba100 wa clouds [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
 
Lazima Wamuwaze Maana,
Alikuwa Anaongoza Kwa Kuingiza Mapato WCB,
Ndio Msanii Mwenye Nyota Kali WCB Kwa Kutoa Hits Ambazo Diamond Mwenyewe Akawa Analazimisha Awemo Kama Kolabo Ili Aendelee Kusikika
mmmmh kwa mimi nnavyojua kinacho muingizia msanii pesa ni show na Matangazo ya makampuni mbalimbali kidogo na viewers youtube
Sasa hv huyu jamaa anataka niaminisha harmonize anafanya show kubwa zinazomzidi diamond or anathaman zaidi ya diamond
Hv kati ya Harmonize na diamond n nan anayefanya matangazo ya makampuni kuliko mwenzake
Hv kati ya mond na Harmo nan video zake zinaongoza kwa viewers wengi
Au kunanamna nyingine tofauti harmonize alikuwa anaiingizia WCB mapato...?
 
Tatizo La Ninyi Misukule Hamna Akili.
Ndio Maana Diamond Anawageuza Anavyotaka.
Mimi Sijazungumzia Harmonize Kumzidi Mapato Aliyekuwa Boss Wake.
Ninachozungumzia Ni Kuwa Harmonize Ndio Uwekezaji Alioufanya Diamond, Uliokuwa Unamlipa Zaidi.
Hata Chuki Aliyojenga Baada Ya Kuondoka Wivu, Uswahili Na Roho Mbaya.
Ni Sawa Na Academy Ya Mbagala Iliyomwokota Mbwana Samatta Imjengee Wivu Na Chuki Eti Kwa Kuwa Kaenda Kutafuta Maisha Kwingine.
Viswahili Nuksi
 
Siku Hamonize akitoa wimbo kila kitu kitabaki uchi kwa sasa tutaongea mengi lakini wakati utasema kweli.
Combination ya Fella+Tale+Sallam ni future ya entertainment industry ningekuwa ni mimi nisingekaa mbali na awa watu.
Ni kweli ukisemacho ila sidhani ni wao tu ndio walioishika entertainment industry. Kumbuka Konde pia akitoka wasafi, media zote zilizokua hazipigi ngoma za wasafi zitaanza kumcheza. Na bado ana connections za kutupa na wasanii wakubwa wa nje. Kimsingi Konde kupotea Itakua ni muujiza mwingine mkubwa kuwahi kuushuhudia.
 
Salaam Anamsimamia AY Hatuoni Jipya !
Kwa Navy Kenzo Hatuoni Jipya !
Babu Tale Ni Takataka, Anasafiria Nyota Ya Abdu Bonge.
Wasanii Waliopita Kwake Kibao Na Hawana Jipya Lolote.
Kila Mtu Kwenye Maisha Ana Nafash, ACHENI KUABUDU WATU !
Word [emoji817]
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]eeh afu ndie msanii pekee hits zake kali zote ni alizo shirikiana na platnumz.. na aka ishia kufunikwa...vipi ukitoa izo kuna nyingine iliyo fikia mafanikio zaid ya izo za #bado na #kwangwaru
Kwangwaru ingekuwa kali tu hata angefanya na Davido, Diamond huwa anazijua ngoma zitakazokuwa Hit , that's why huwa anaforce collabo.
 
Mda utaongea, harmonize ana kipaji cha uandishi, ila sarakasi za mziki hazijui, amebakiza mwaka mmoja wa kutamba...Kiki ya kutoka wasafi bado inambeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…