Kisa cha Harmonize na Diamond Platinumz ni sawa na cha Fally Ipupa na Koffie Olomide. Afrobeat Album ndo itatoa majibu

Kisa cha Harmonize na Diamond Platinumz ni sawa na cha Fally Ipupa na Koffie Olomide. Afrobeat Album ndo itatoa majibu

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.

Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti. Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana.

We need more international artists. Siyo mmoja tu kwenye nchi ya watu millioni 50.

IMG_20200211_223433_304.jpg
 
mbona mimi kwa uelewa wangu naona kama kondeboy ndo anatoa diss traki nyingi za kumshambulia diamond, na wala simba hana time naye.
yaani "nyimbo anazoimba hazina tofauti na zile nyimbo zinazoimbwa kila siku za kuumizwa kimapenzi"
content ya nyimbo zake ni zile zile, akiimba singeli au zuku ni majungu tu
 
Wimbo wa singeli majungu yako wapi? Nenda kausililize tena na tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unafanyiwa fitna ipi acha kutafuta huruma kwa watu fanya kazi mbona Mario anafanya kazi nzuri na ngoma zinaenda
 
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye lable iliyomkuza , basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.

Mapesa yote hayo wamempiga , bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti.... Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana. We need more international artists. Siyo mmoja tu kwenye nchi ya watu millioni 50.
Afanye mziki wake aache majungu,kaanza Hainishtui watu kimya,kaja Hujanikomoa WCB wamekaa kimya ,sababu wameona ujumbe umekaa kimafumbo labda hauwahusu wao.

Juzi kapost video kina kiemoro kinakunywa,huku kinacheza nyimbo yake hujanikomoa,kakifananisha na meneja wake wa zamani ambaye anapenda bata (Sallam ) naona wenzake nao wamereact,sasa hivi anatafuta huruma.

Yy afanye mziki wake kama ameamua kumove on,akina Kiss Daniel,Lil Kesh,Tiwa Savage,Wizkid wametoka kwenye label zao za zamani lakini hawana madongo wala mafumbo kutoka kwenye label zao zilizo watoa na kuwasaidia.
 
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye lable iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.

Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti. Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana.

We need more international artists. Siyo mmoja tu kwenye nchi ya watu millioni 50.
Mnatafuta huruma yy afanye kazi mwisho wa siku aziache number ziongee na sio maneno.Alisema 27 June atazindua album ya Afro East kwa mara ya pili kwa wasiopata nafasi ya kwenda Mlimani City,show aliipanga kuifanyoa uwanja wa Uhuru na akasema wasanii wote wa alio washirikisha kwenye album watakuwepo.Ila cha ajabu mpaka sasa hamna update ya hiyo show kama itakuwepo,imehairishwa au hamna.

Tatizo lake moja anafanya vitu nusu nusu sijui ana kurupuka au hajipangi tokea mwanzo.Afanye mziki tu number zitaongea WCB wenyewe washasahau kwamba walikuwa na msanii anaitwa Harmonize,yy a-concentrate na mziki wake kwani yaliyopita yamepita,yy kama amefungua ukurasa mpya asonge mbele na si kugeuka nyuma.
 
J.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ...

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Unataka aongelewe nani sasa!! haya weka wasifu wako hapa tukuongelee mana inaonekana unahitaj kuzungumziwa mkuu.
 
J.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ...

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Wewe pia upo kwenye kundi la wajinga waliojaa JF,hata mwandiko wako unathibitisha.
 
Back
Top Bottom