Mohammed ismail
Member
- May 18, 2020
- 21
- 27
Akumbukwe mr.nice[emoji851][emoji851]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatafuta huruma yy afanye kazi mwisho wa siku aziache number ziongee na sio maneno.Alisema 27 June atazindua album ya Afro East kwa mara ya pili kwa wasiopata nafasi ya kwenda Mlimani City,show aliipanga kuifanyoa uwanja wa Uhuru na akasema wasanii wote wa alio washirikisha kwenye album watakuwepo.Ila cha ajabu mpaka sasa hamna update ya hiyo show kama itakuwepo,imehairishwa au hamna.
Tatizo lake moja anafanya vitu nusu nusu sijui ana kurupuka au hajipangi tokea mwanzo.Afanye mziki tu number zitaongea WCB wenyewe washasahau kwamba walikuwa na msanii anaitwa Harmonize,yy a-concentrate na mziki wake kwani yaliyopita yamepita,yy kama amefungua ukurasa mpya asonge mbele na si kugeuka nyuma.