Ndo muache kupambana kumtengenezea fitinaSasa nani kamzuia kuwa international?
We kumbe mwe..hu!!Ndo muache kupambana kumtengenezea fitina
Wimbo wa singeli majungu yako wapi? Nenda kausililize tena na tena.mbona mimi kwa uelewa wangu naona kama kondeboy ndo anatoa diss traki nyingi za kumshambulia diamond, na wala simba hana time naye.
yaani "nyimbo anazoimba hazina tofauti na zile nyimbo zinazoimbwa kila siku za kuumizwa kimapenzi"
content ya nyimbo zake ni zile zile, akiimba singeli au zuku ni majungu tu
mwanaume thabiti ni yule anayeweza kuvumilia mabadiliko na kukaa kimya.Wimbo wa singeli majungu yako wapi? Nenda kausililize tena na tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye mziki wake aache majungu,kaanza Hainishtui watu kimya,kaja Hujanikomoa WCB wamekaa kimya ,sababu wameona ujumbe umekaa kimafumbo labda hauwahusu wao.Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye lable iliyomkuza , basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.
Mapesa yote hayo wamempiga , bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti.... Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana. We need more international artists. Siyo mmoja tu kwenye nchi ya watu millioni 50.
Mnatafuta huruma yy afanye kazi mwisho wa siku aziache number ziongee na sio maneno.Alisema 27 June atazindua album ya Afro East kwa mara ya pili kwa wasiopata nafasi ya kwenda Mlimani City,show aliipanga kuifanyoa uwanja wa Uhuru na akasema wasanii wote wa alio washirikisha kwenye album watakuwepo.Ila cha ajabu mpaka sasa hamna update ya hiyo show kama itakuwepo,imehairishwa au hamna.Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye lable iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.
Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti. Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana.
We need more international artists. Siyo mmoja tu kwenye nchi ya watu millioni 50.
J.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ...
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Nikushaur Acha kutumia Tecno , ona sasa imeedit ulichopostJ.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ...
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Wewe pia upo kwenye kundi la wajinga waliojaa JF,hata mwandiko wako unathibitisha.J.F INA wajinga wengii sahiv kulikoo social medial yoyotee ilee mada za celerity za kijingaa kila siku mondi kiba harmonize .vijana embuu elimikenii achen ushabiki wa ajabuu ...
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app