Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

Kisa cha Kajala kulishwa Sumu ni Mume wa Mtu

Wasanii wa tz ni malaya na washenzi...sijui wataiga mambo ya akina lupita lini..mxxxx badala ya kuwaza mambo ya maan wao wako busy na mambo ya kuvuana vyupi

Sio washenzi mkuu. Siku hizi hata kuvuana chupi ni USANII. Usanii kokote na potepote!
 
na wewe watakuwekea
bora umwekee mumeo limbwata akianza ku tongoza mwanamke wa nje huko anakua anapatwa kigugumizi maneno hayatoki...akiongea mengine yanatoka..lol
Wote nawawekeaa
 
Hapa mwanaume ndie mwenye matatizo!ilitakiwa akae njia kuu tu hii michepuko aachane nayo.
 
Kwendeniii na hukumu zenu utadhani nyie hamfanyi na kufanywa na watu wa watu....
ajali kazini
 
mwallu hahahhha unaweza muwekeaa akawa zezetaa bora tu achepukee
 
Last edited by a moderator:
Kweli wanawake mmeaathiriwa na mfumo dume, nyie mnawaza kupotezana tu wakati hao vidume zenu wanakaa pembeni na kucheka.

Na mkishauana yeye si anatafuta coomer nyingine na kuendeleza game kwa raha zake...sasa hapo ni nani amekomolewa....zaidi ni wewe kujiingiza matatani kwa vyombo vya sheria ?
 
Huyo kajala ni kama break down hachagui gari lakubeba
 
Mume mwenyewe ni yule wa mke wa ile blog ya fashion !!!!!

Mume wa shamim mwasha , alijifanya anaenda sijui mkoa gani kumbe alienda china kuliwa papuchi na mume ya mutu, liache life tu , mi nilikuwa namuona jemb sana kumbe wap
 
kwani kufa atakufa peke yake?..kifo ni cha wote bana
Mume wa shamim mwasha , alijifanya anaenda sijui mkoa gani kumbe alienda china kuliwa papuchi na mume ya mutu, liache life tu , mi nilikuwa namuona jemb sana kumbe wap
 
si ndio hapo sasa..tunarushiana madongo wenyewe wanaume wamekaa pembeni wanatabasamu tu..ukute hata wakati anatafutwa kaambiwa ''sina mke''

Back
Top Bottom