Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
Wasanii wa tz ni malaya na washenzi...sijui wataiga mambo ya akina lupita lini..mxxxx badala ya kuwaza mambo ya maan wao wako busy na mambo ya kuvuana vyupi
sasa hiyo sumu utawawekea wangapi?
Wote nawawekeaa
Binamu mi nilijua ni misemo tu ya wazaramo tu kumbe ni applicable in our society
Hata mi nikiibiwaa mume hata tindikali ntakumwagia kama sumu isipofanya kazi, Mume mtamu jamani tena akome!!!!!
Kwendeniii na hukumu zenu utadhani nyie hamfanyi na kufanywa na watu wa watu....
ajali kazini
Mume mwenyewe ni yule wa mke wa ile blog ya fashion !!!!!
Hata mi nikiibiwaa mume hata tindikali ntakumwagia kama sumu isipofanya kazi, Mume mtamu jamani tena akome!!!!!
Mume wa shamim mwasha , alijifanya anaenda sijui mkoa gani kumbe alienda china kuliwa papuchi na mume ya mutu, liache life tu , mi nilikuwa namuona jemb sana kumbe wap
Kweli wanawake mmeaathiriwa na mfumo dume, nyie mnawaza kupotezana tu wakati hao vidume zenu wanakaa pembeni na kucheka.
Na mkishauana yeye si anatafuta coomer nyingine na kuendeleza game kwa raha zake...sasa hapo ni nani amekomolewa....zaidi ni wewe kujiingiza matatani kwa vyombo vya sheria ?
kwani kufa atakufa peke yake?..kifo ni cha wote bana
Mume wa shamim mwasha , alijifanya anaenda sijui mkoa gani kumbe alienda china kuliwa papuchi na mume ya mutu, liache life tu , mi nilikuwa namuona jemb sana kumbe wap
Mhhhhhh