Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

Tusubiri!!

Dere mpya ameuza vioo pia vya MADIRISHA yote, Hadi kioo Cha mbele,

Na spidi Kali anayoenda nayo, macho yanatoa tu machozi yenyewe!!
 
Hiyo kampuni haijawahi kuwa na huduma nzuri kwa abiria ila tu huwa inahonga watoa vibali vya usafirishaji ili kampuni nyingine zisipewe vibali vya kubeba abiria kwenye hiyo route.

Hiyo kampuni ni wala rushwa sana wakishirikiana na watoa vibali. Ubaya inabidi tu abiria wapande tu bus lao kwamaana wanakuwa hawana namna.

Ila siku abiria wakigoma wakaamua kutembea kwa mguu itakuwa labda ndio mwanzo wa mabadiliko.
 
Eti dere aliyekufa aliendesha gari vizuri sana abiria wakaumia sana alipokufa una uhakika? Una hakika tukamuulize baba yake na Ben Saanane kama abiria walimsifia marehemu dereva?.
[emoji23][emoji23][emoji23]!!!
 
Mama hassan 🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…