Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

Tutafika, lakini tukiwa tumechoka sana,Hoi Bini tabani , dereva anatupitisha kwenye Matuta akiwa na 120.
 
Tutafika, lakini tukiwa tumechoka sana,Hoi Bini tabani , dereva anatupitisha kwenye Matuta akiwa na 120.
Spidi 120, na tairi zote kipara, akipress break saiz, baada ya km 10 ndo inaanza kupungua taratibu!!

Kaz IPO!!
 

Weledi wa Dereva wa kwanza?[emoji28] Dereva wa kwanza ndo chanzo cha matatizo yote. Ni Dereva wa kwanza ambaye aliamua kwamba Bunge liwe na watu wa chama chake tu na kwa uchaguzi wa 2020 hilo lilifanikiwa. Hakuwa na maono marefu juu ya mustakabari wa taifa hili endapo angeitwa na Mungu. Ameliumiza taifa kwani hata enzi za uhai wake wapo walionyamazishwa kwa kuhoji maswali magumu.

Harufu ya ushuzi haina tofauti sana na harufu ya Mavi.
 
Kwahiyo umeamua kuchafua hewa ndani ya bus, na tulivyobanana😀
 
Dere wa kwanza hakuwa na TABIA ya kunyofoa spea Moja moja na kuuza, alikuwa mwadilifu katika Hilo.
 
Mmiliki anajitambua?
 
Promo ndani ya buss zimeshika Kasi,

Dere mpya amerob makundi yanampigigia mapambio kuwa hakuna kama Yeye.
 
Hivi kondakta kiziwi anaruhusiwa kuomba lesseni ya udereva?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…