Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

Kwa hiyo anastahili kupewa cheti cha kieletroniki cha chanjo!?
 
Una akili sana wewe mtu. Ningekuwa na mamlaka ungekuwa recruited TISS moja Kwa moja.

Hivi ndo vichwa tunavyovitaka Tanzania.

Mama awe makini sana! Kuna sabotage kubwa sana anafanyiwa. Matukio yanapangwa kwelikweli.
Huyo mama unayemsema mwanzoni alipata sapoti ya wenye akili Lakini ghafla akageukia mazwazwa ya Mwendazake. Acha avune alichopanda.
 
Kweli Kuna watu wanataka kumkwamisha mh. Raisi. Lakini Mungu ni Mkuu Sana wakati wote, hawatafanikiwa
 
Hujaeleweka unataka kusema nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…