Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana.
Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo hivyo anasema wameishia kukosana.
Hakuweza kamilisha kisa chote alichokuwa akihadithia kwani alishuka.