Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Nlikua nakuonaga una maana kumbe na wee bwegee hahahaha.. Hivi uko poa kweli au umelewa maana mida mibovu hii.. Kwani jk alichowafanya ilikua sio Rwanda hii au paka hakuwepo??? Tuondolee takataka zako hapa mmeshindwa Burundi huko afu uje utoe ujinga wako hapa shenzy...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa namfananishaga na Hawa vishandu wa bodaboda Tambo zake
 
Nitukane uwezavyo nidhihaki utakavyo ila narudie tena Kuandika huku nikijiamini kwa 100% kuwa Tanzania haina ubavu / jeuri / uwezo wa Kupambana Kivita / Kijeshi / Kimedani na Rwanda na kupitia Wewe Mtanzania mwenzao ' Pimbi ' mmoja nikuombe tu waambie Watanzania wenzako kuwa kama wanataka wasifikie Malengo yao ya Viwanda na Uchumi wake na wakitaka Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Tabora, Mara, Ruvuma,Morogoro, Iringa, Arusha, Geita, Rukwa na Kagera ziwe ' Territories ' rasmi za Rwanda endeleeni tu Kujidanganya na ' Kushoboka ' nasi. Mtafute Mtu unayejua anakuzidi ' Akili / IQ ' ili akuambie ni kwanini ' Strategically ' kabisa nimekutajia tu hiyo Mikoa na mingine nimeiacha. Rwanda ' tumebarikiwa ' na Mwenyezi Mungu Akili, Ushujaa na Uthubutu. Kidogo tunayemuogopa ni Uganda na siyo Tanzania.
Ipo siku yako Mkuu Genta utayakanyaga endelea tu kuitumia jf kudemka
 
Huwa nakuheshimu sana humu, tulia na uombe radhi kwa matusi haya kwa nchi hii. Nakuambia omba radhi haraka. Tukio tulilolifanya mwaka 2014 ni sehemu ndogo sana na siweki mambo yote humu kwa sababu nijuazo.
Dawa yake kumsodomise hyu mtoto na mshepu wake
 
Halo JF siasa.

Niende madani hapo juu.

Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.

Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.

Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa wasiwasi wa kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.

Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.

Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.

Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Hii chai ilikua ya moto sana mkuu mpaka leo haijapoa kabisa
2cb39eba722b2e08516b9f0936cd6515.jpg
 
kagame ni shetani wewe, ni mnywa damu yule tangu akiwa msituni. kama haujaelewa, wapiganaji wa vita vya mstuni congo hasa hao viongozi wameingia maagano na shetani hata kabla haujafika nyumbani kwao walishajua. ndio utaelewa kwanini hadi leo Joseph Kony hauawi, unaambiwa anayeyuka, ukimwona hapa sasaivi anapotea. na kafara lake anaenda kuchinja kijiji kizima ndio kulisha mashetani yake. kagame is the same. ukienda pale labla upige kwanza maombi, ila ukienda kichwakichwa anayeyuka kama upepo. ni mashetani hao.
 
Angalikua mwenye asili ya kiarabu na chembe ya uislam pangalikua hapatoshi. Mdude, mwambusi, dk Slaa na baadhi ya vibwetere wa Jf na matamko ya J2 yangalindindima. Lkn kwa sababu ya mzungu yataisha kimya kimya.
Au nasema uongo wadau?
 
BANGI sikwakila mtu! Kichwa kama nimapepe inakuvuruga kuwa makini
 
kagame ni shetani wewe, ni mnywa damu yule tangu akiwa msituni. kama haujaelewa, wapiganaji wa vita vya mstuni congo hasa hao viongozi wameingia maagano na shetani hata kabla haujafika nyumbani kwao walishajua. ndio utaelewa kwanini hadi leo Joseph Kony hauawi, unaambiwa anayeyuka, ukimwona hapa sasaivi anapotea. na kafara lake anaenda kuchinja kijiji kizima ndio kulisha mashetani yake. kagame is the same. ukienda pale labla upige kwanza maombi, ila ukienda kichwakichwa anayeyuka kama upepo. ni mashetani hao.
Duuuuuhhh
 
Halo JF siasa.

Niende madani hapo juu.

Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro ni ushauri wa Jk kwa Pk juu ya waasi wa FDLR.

Sasa kutokana na mgogoro wao huo kila moja alipanga kumwonesha mwenzie yeye nani. Kikwete akatuma kikosi maalumu cha makomando kutoka Tz na kuingia Kigali usiku wa manane na kuiteka nyumba anayolala kagame na walifanikiwa kwa asilimia 100% kuingia ktk jiji hilo bila kutambulika.

Baadae kikosi hicho tiifu kilivunja milango na kuingia ndani ambapo walimkamata Rais kagame ambapo aliamua kwa wasiwasi wa kutoweshwa usiku huo kumwomba Jk msamaha kwa njia ya simu huku makomando wa Tz wakisimama chumbani mwake.

Baadae Jk alimwambia mkuu wa operesheni kuwa wamwache na warudi nyumbani na akamwambia kagame kuanzia siku hiyo azibe mdomo wake vinginevyo atajuta.

Nyumba hiyo ya kagame ipo mitaani Kigali na sio Ikulu kwani kagame amegoma kuishi ndani ya Ikulu tangu awe Rais kwa sababu ajuazo yeye. Wakati hayo yakijiri walinzi wote wa nyumba walikuwa washamalizwa na kikosi kazi hicho kabla ya kuingia viunga vya nyumba hiyo ya Rais wa nchi ndogo inayoibuka kiuchumi na kitechnolojia kwa kasi kwa sasa. Rais kagame hakutaka habari hizi zivuje maana ni aibu kwa nchi huru.

Ee Mola tunashukuru kwa Busara zilizotumika kipindi hicho vinginevyo...........
Hilo ndio jeshi letu,hebu tuletee na habari nyingine ya jeshi letu mkuu.
 
Poropagandaniz
 
Back
Top Bottom