Kisa Cha kweli cha Rafiki yangu Tajiri ambaye kwa sasa anaokota Makopo

😁😁 Mungu atoke wapi !! Mimi nawewe nature inatusubiri turudishe kile ilicho tu- offer ili Dunia iweze kujiendesha katka mazingira yake
Ila hirizi ni dawa, miti na chale furesh tu ni nature ✋🏾
 
Alirudi rivasi kwa pikipiki!!
 
 
Chai
 
Umeharibu uliposema ni story ga kweli! Hii ni chai na haina uhalisia hata kidogo.
 
Mbona hizo kesi ziko kibao tu huku mitaani?
Njoo hapa uyole mbeya ndio utajionea mambo,kuna vichaa wengi kila ukiuliza wenyeji wanakuambia huyo alikua tajiri akakosea masharti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…