Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

Dah ulipata moyo wa ujasili sana kwa msaada ule uku unaskilizia masengenyo juu yako! Najua walitoka pale hawatamani tena kuonana na wewe maana waliona aibu ambayo km walikuwa na akili timamu iliwatesa sana
Watu wa hivyo unaweza kuta walibaki wanarushiana mpira ni nani kati yao ndiyo alisema hovyo kuliko wengine ili wajione afadhali, baada ya hapo wanachekana na siku inasonga mbele huku wakimfanya mwezao kituko
 
Yaani watakuwa walijicheka sana ila pia wakabaki katika mind zao wanajiuliza sasa huku anapata kitu gani kuosha vyombo tu si bora arudi nyumbani akalime dah jambo usilolijua
 
Back
Top Bottom