Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

😄😄😄😄
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaaa looh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu salute.

Wabongo sio watu. Mfano hata ukiyumba kifedha, au kimaisha ndo utawajua wabongo. Watakusema bila chenga...watakusengenya bila hofu na ww ukiwa pemveni unawaskia. Yaan kiufupi...baba yetu sijui ni nani sisi wabongo.
Acha tu mkuu, wabongo ni nuksi yaani usiombe wakuone haueleweki kimaisha unageuzwa topic na kheri iwe watu baki. Hakuna watu wanajua kusengenya kama ndugu wa damu maana wanaanza na yaliyopita, yaliyopo na wanakutabiria kabisa

Ila siku ukiinuka unaona kila mtu anakufurahia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikusema Kwa ubaya, kulikuwa na vitu tunafuta tumetafuta hatukuona vizuri, tulifika sehemu tukamuona ke mmoja na biashara yake tukaangalia mmoja akasema tuchukue hapa Mimi nikamjibu sijaridhika Ile tunaondoka akauliza ndugu zangu kwa Kiswahili msiponunua hapa mtanunua wapi? [emoji3][emoji3][emoji3] tukarudi kwake Kwa kweli tulimuungisha sana uzuri hatukumsema mtu yoyote Kwa ubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nimepigilia nguo za ki west mwenyewe toka kwa shemeji yenu sina hili wala lile nikazama ndani ya metro,
Sijakaa vizuri wakaingia wadada wawili nikajua badae ni wakenya wakaanza
"Tukae hapa basi"
Mwenzie "mmh hapana hao wawest wana pua kubwa atachukua hewa yote"
Mwingine " kweli halafu wananunakaga sijui nini"
Huyo "wanankulaga manyani hao thats why"
Mi nikafika safari yangu hapo washageuza lugha wanaongea kiluhya washajisahau nikawapitia kuwapa salamu kwa bashasha
"hamujambo wadada wa Nairobi vipi mamboo nawajulia hali tu"
Dooh wakaachama kushika mdomo mi huyo nikayeya treni ishanifikisha.
 
Naam hili linafahamika tena inasemekana wanaume ndo wanaongoza
Nakumbuka jamaa yangu alikuwa SWEDEN na rafiki yake! Wakawa ndani ya street train mara wakamkamuona mama mnene sana. Si wakaropoka kuwa mimama kama hii ikijamba inatoa ushuzi unaonuka ajabu, wakacheka. Yule mama alipofika kituo alichokuwa anashuka akawaeleza ‘do you know the meaning of kumamayo’ akasepa. Jamaa walijisikia wapuuzi sana! Ni kuwa usimseme mtu ambaye humjui anaweza kuwa anakuthale tu anasubiri kithibiti
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…