Kisa cha kweli: Jinsi nilivyosengenywa na "kubaguliwa" na Watanzania wenzangu nchi ya ugenini

Yaani watakuwa walijicheka sana ila pia wakabaki ktk mind zao wanajiuliza sasa uku anapata kitu gan kuosha vyombo tu si bora arudi nyumbani akalime dah jambo usilolijua
Sasa hilo la kwenda kulima ndo wengi wetu tunalo utasikia "si bora utafute shamba ukalime tuu".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngaliba Dume,
Babu pole. Sijashangaa hata kidogo. Sababu London reading Leicester Milton Keynes Luton kuna maubaguzi kama hayo. Tena ni Kati ya wadanganyika na wazanzibari na wapemba. Ya kufa mtu mpaka wawaza je wabongo tuna laana au?! Maana mhindi twamjua hatushangai mturuki balaa mwingireza ni mnafiki anajifanya hana chembe ya ubaguzi kumbe balaa. Pole ila wenzetu waelewa haya..
 
Nishakataa kampani na Watz bora nikae karibu na Waganda au Wazimbambwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi mmoja wa mwanamke wa kimarekani aliyekuwa amemuoa mwanaume wa Zambia upo humu. Ambavyo hata wazambia wanavyooneana gere hadi kumbebesha mume wake madawa ya kulevya mpaka akatimuliwa Marekani ili wao wamfaidi huyo mama ikaishia jamaa kujinyonga! Umaskini ni shida sana
 
Mkuu kwanza nikupe pole kwa kadia iliyokukuta.
Hata hivyo ningependa kujua uliwezaje kufahamu kuwa wale watu pamoja na kuwa watumishi wa umma, walikuwa walikuwa wanaenda kufundisha chuo cha kilimo ukiriguru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza nikupe pole kwa kadia iliyokukuta.
Hata hivyo ningependa kujua uliwezaje kufaham kuwa wale watu pamoja na kuwa watumishi wa umma, walikuwa walikuwa wanaenda kufundisha chuo cha kilimo ukiriguru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwatambulisha mie ni Mtanzania pale chini Hotelini walivyokuwa wananiletea pombe, tuliongea kidogo na kufahamiana, nimekatisha tu story, lakini baada ya mie kuongea Kiswahili, wale jamaa waliogopa sana na baadae tukaongea kidogo na wakanifahamisha dhumuni la wao kuwa nchi ile kwa muda ule. Nimefupisha tu story
 
Labda waliona kakimbia fursa Tanganyika, alafu kaenda kuosha vyombo ugaibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…