Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,218
Vipi nikisema kwamba hayo niliyokwambia hapo juu sio yangu bali Roho wa Mungu ndiye kanipa nikupashe habari. Je,utaniamini au la?Nimefundishwa na Roho wa Mungu
Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
1. Mkuu unaitwa mchungaji nani?2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2 Timotheo 3:2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, 2 Timotheo 3:3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, 2 Timotheo 3:4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; 2 Timotheo 3:5 wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao. 2 Timotheo 3:7 wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yohana 4:2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 1 Yohana 4:3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. 1 Yohana 4:4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. 1 Yohana 4:5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia 1 Yohana 4:6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.Vipi nikisema kwamba hayo niliyokwambia hapo juu sio yangu bali Roho wa Mungu ndiye kanipa nikupashe habari. Je,utaniamini au la?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hata akiweka real ID haitakuwa na maana kwa sababu lililo muhimu ni kujadili hoja zake na sio mtoa hoja.Cha kuongezea hapo, aweke ID yake real siyo hizo fake na kwenye avatar aweke sura yake ili twende sambamba nae.
Huyo roho wa Mungu ndio huyo mjomba wako aliyekufa then akapiga chafya?Nimefundishwa na Roho wa Mungu
Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Kwa sababu ya sheria za huku hivyo vyitu haviruhusiwi, natii mamlaka, tofauti na hapo una shida njoo inbox plZ1. Mkuu unaitwa mchungaji nani?
2. Nahitaji kuona sura yako maana bible haikumficha mtu.
3. Huku siyo mahali sahihi, nenda kwa gwajima mkafufue wafu.
1 Wakorintho 2:13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 1 Wakorintho 2:16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.Huyo roho wa Mungu ndio huyo mjomba wako aliyekufa then akapiga chafya?
Safi sana. Kumbe unajua hata namna ya kuzijaribu roho kwamba zimetokana na Mungu au la. Haya hebu nambie tayari umeshaijaribu roho yangu au bado?1 Yohana 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1 Yohana 4:2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 1 Yohana 4:3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. 1 Yohana 4:4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia. 1 Yohana 4:5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia 1 Yohana 4:6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
SafiUnataka kuwafundisha watu ukweli kupitia uongo?
Tofautisha ziwa la moto na kuzimu!! Ziwa la moto hamna mtu umewahi kuingia ila kuzimu watu wenye dhambi wakifa wanaenda huko( magonjeo ya watu au selo) hivyo haimanishi selo hamna mateso !! Leo kama ukienda selo kabla ya kuhukumiwa wewe bado unapitia mateso, njoo inbox au soma kisa hiki hapa umenielewaNi kweli kuwa mbingu ni halisi na ni kweli kuwa jehanam itakuwepo...ila kwa sasa haipo. Hakuna mahala ambapo watu wakifa now wanaenda either mbinguni au wanaenda kuchomwa moto jehanum.
Kama kweli watu wakifa tu now wanaenda mbinguni au Jehanum kuna haja gani sasa ya kuwa na ufufuo aliouahidi Yesu? Yaani kama mtu keshafika mbinguni aliko Mungu...anafufuliwa kwenye kiyama ili iweje tena? Anafufuliwa ili arudishwe tena huko huko mbinguni ambapo alishaenda alipokufa? Illogical.
Maandiko yanasema kuwa kutakuwa na ufufuo wa aina mbili. Ufufuo wa wenye haki na waovu...hawa wote watafufuliwa kupokea malipo yao ktk hukumu...yaani wenye haki kuupata uzima wa milele na waovu kupotea milele.
Ikiwa kama watu wakifa wanaenda direct mbinguni au jehanum kama ulivyosema...kuna haja gani huo ufufuo wa mwisho na hukumu kuwepo?
Kwa sasa hakuna hiyo Jehanum maana kwa mujibu wa kitabu cha Ufunuo 20 moto utakaowaunguza waovu utashuka kutoka mbinguni baada ya waovu kufufuliwa na kuhukumiwa ktk ufufuo wa 2. Kwa maana hiyo moto wa jehanum ni tukio lililoko in the future si sasa.
Yesu pia alisema atakapokuja atawatuma malaika zake wawakusanye wenye haki toka kila kona ya nchi...wakifufuliwa toka makaburini na kuungana na wenye haki watakaokuwa hai wakati huo ili wamlaki Yesu mawinguni awapeleke heaven.
Sasa ikiwa tukio la kuwafufua wafu wenye haki na waovu liko mbeleni, yaani ajapo Yesu...hao unaosema wanakufa na kwenda directly mbinguni na jehanum ni akina nani?
Ufunuo 20 inasema kuwa ktk huo moto wa Jehanum utakaoshuka toka mbinguni atatupwa shetani pia na malaika zake na waovu wote...lakini kwenye kisa chako unasema kuwa kuna majitu ya kutisha yalimfata nduguyo ili kumpeleka Jehanum na malaika wa Mungu wakaingilia kati..
Sasa kati yako na biblia nani mkweli? Maana shetani hana control ya moto wa jehanum kiasi kwamba atume malaika zake wawapeleke waovu motoni...maana Shetani mwenyewe atachomwa na moto huo huo wa Jehanum.
Lastly...Mungu hakuumba majitu ya kutisha kama hayo majitu mawili uliyosema ndugu yako aliyaona yakimfuata. Malaika walioasi wakiongozwa na shetani mwenyewe waliumbwa wakiwa na mwonekano mzuri na wako hivyo hata sasa. Sasa sijui hao majitu unaowasemea wametokea wapi?
Paleka ujinga wako huko kwenu. Na umkumbushe mjomba wako kufa maana aliambiwa arudi kubatizwa1 Wakorintho 2:13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. 1 Wakorintho 2:15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu. 1 Wakorintho 2:16 Maana, Ni nani aliyeifahamu nia ya Bwana, amwelimishe? Lakini sisi tunayo nia ya Kristo.
1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.Safi sana. Kumbe unajua hata namna ya kuzijaribu roho kwamba zimetokana na Mungu au la. Haya hebu nambie tayari umeshaijaribu roho yangu au bado?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Marko 16:16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Paleka ujinga wako huko kwenu. Na umkumbushe mjomba wako kufa maana aliambiwa arudi kubatizwa
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.Midanganyika inavyoamini story za kusadikika kama hizi na mambo ya ushirikina ambayo hayapo itaamini hata hii.
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.Paleka ujinga wako huko kwenu. Na umkumbushe mjomba wako kufa maana aliambiwa arudi kubatizwa
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Umekariri vifungu vya biblia lakini hujui namna ya kuviishi. Na kwa sababu hujajibu maswali yangu ya msingi huku juu nakuruhusu endelea kubishana na members wengine humu maana watu aina yako nimekutana nao na nitakutana nao sana tu.1 Wakorintho 2:11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
Ni kweli kuwa mbingu ni halisi na ni kweli kuwa jehanam itakuwepo...ila kwa sasa haipo. Hakuna mahala ambapo watu wakifa now wanaenda either mbinguni au wanaenda kuchomwa moto jehanum.