Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Anaefikiria kuna maisha baada ya kifo, ni kupoteza mda, tumia huo mda kufikiria kuwa maisha ni haya tu yakiondoka yameondoka.
Huu ni uongo wa shetani mkuu ili uende motoni
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Anaefikiria kuna maisha baada ya kifo, ni kupoteza mda, tumia huo mda kufikiria kuwa maisha ni haya tu yakiondoka yameondoka.
Waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
 
Haya masuala ya ubatizo wa maji mengi sijui machache upi ndo sahihi au sabato ya kweli ni ipi[emoji848] anajua Mungu bana.

Wengine tumebatizwa maji machache na tumemkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu na tuna amani mioyoni[emoji4]

#tukutane paradiso#
 
Anaefikiria kuna maisha baada ya kifo, ni kupoteza mda, tumia huo mda kufikiria kuwa maisha ni haya tu yakiondoka yameondoka.
Luka 16:22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Luka 16:23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Luka 16:24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
 
Mkuu nenda kwa gwajima ukasaidiane nae maana na yeye hufufua wafu. Huku ni jukwaa la sayansi na watu wenye akili timamu.
 
Yohana 10:12 Mtu wa mshahara, wala si mchungaji, ambaye kondoo si mali yake, humwona mbwa-mwitu anakuja, akawaacha kondoo na kukimbia; na mbwa-mwitu huwakamata na kuwatawanya. Yohana 10:13 Yule hukimbia kwa kuwa ni mtu wa mshahara; wala mambo ya kondoo si kitu kwake. Yohana 10:14 Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;
99.9% ya hao wachungaji ni watu wa mshahara
 
Haya masuala ya ubatizo wa maji mengi sijui machache upi ndo sahihi au sabato ya kweli ni ipi[emoji848] anajua Mungu bana.

Wengine tumebatizwa maji machache na tumemkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu na tuna amani mioyoni[emoji4]

#tukutane paradiso#
Sio kila amani inatoka kwa Mungu, hata shetani pia anatoa amani kikubwa ni hiki
Zaburi 119:6 Ndipo mimi sitaaibika,
Nikiyaangalia maagizo yako yote.
 
Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi!!!
Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa wanapishana kuja kumuombea maana aliumwa kipindi kirefu sana, Siku moja jioni alizidiwa na hatimae kufariki dunia( kwa mjibu wa dakitari ) baada ya taratibu za hapa na pale mwili kuandaliwa! Kupelekwa mchowari alipiga chafya na kurejea na kutoka pale akawa mzima mpaka leo, alichokisema ni hiki hapa baada ya kuzinduka
1: kuna maisha baada ya haya, anasema alitoka nje ya mwili wake na akaona jinsi dakitari alivyokuwa anampima pima na jinsi ndugu walivyoanza kulia, baada ya hapo alijikuta yupo dunia nyingine kabisa tofauti na hii!!
2: anaendelea kusema unakuwa na akili zako zote na kumbukumbu zako zote, maana yeye alipofika eneo hilo alikuwa anakumbuka kila kitu kilichopo duniani, na alijua amekufa!
3: matendo yako ndo yataamua uende njia ipi , ya mbinguni au kuzimu, anasema baada ya kufika eneo aliona kwa mbali majitu mawili ya kutisha yanakimbia kuja kumlaki!, lakini ghafula wakashuka watu wawili wamevaa nguo nyeupe wale majitu waliopoona wale watu wawili walirudi nyuma, wale malaika wakamwambia arudi abatizwe kwa maji mengi, maana hawezi kuingia mbinguni, na ndo maana wale majitu yalikuwa yanamfuata!! Baada ya kuambiwa rudi duniani ukabatizwe ndipo akarejea duniani!
Note:
1:Hamna mtu atakayeenda mbinguni bila kumwamini Yesu!!
2: ukitaka kwenda mbinguni fuata yote aliyoyafanya Yesu ikiwemo ubatizo aliobatizwa sio vinginevyo!!!
Huu ushuhuda ni kweli wakuu!! Sio wa kudharau!!!
..."rudi ukabatizwe kwa maji mengi"...
😂😂😂😂😂😂
 
Kuna kitu nimegundua kwako ndugu

1. Umeanzisha thread hii ili ujulikane maana huna hata miezi miwili tangu uwe registered.
2. Wewe ni mfia Dini na ndio nyie mnaolisumbua jeshi la polisi baadae mf. mzuri HAMZA.
3. Unalazimisha watu wakuamini wewe na waache kuamini yale wanayoyaamini

Endelea kudanganya, maana huyo mjomba wako aliokoka bila ubatizo. Na aliambiwa arudi kwanza kubatizwa lakini hadi leo yupo duniani anakula mbunye tu.
 
Mkuu nenda kwa gwajima ukasaidiane nae maana na yeye hufufua wafu. Huku ni jukwaa la sayansi na watu wenye akili timamu.
1 Wakorintho 1:19 Kwa kuwa imeandikwa,
Nitaiharibu hekima yao wenye hekima,
Na akili zao wenye akili nitazikataa. 1 Wakorintho 1:20 Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mlete hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? 1 Wakorintho 1:21 Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa. 1 Wakorintho 1:22 Kwa sababu Wayahudi wanataka ishara, na Wayunani wanatafuta hekima; 1 Wakorintho 1:23 bali sisi tunamhubiri Kristo, aliyesulibiwa; kwa Wayahudi ni kikwazo, na kwa Wayunani ni upuzi;
 
Hatubatizwi ili tusiwe na dhambi ila tunabatizwa ili kuitimiza haki yote
Mathayo 3:14 Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu? Mathayo 3:15 Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali. Mathayo 3:16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
Haya mafundisho unaweza kuniambia umefundishwa wapi,na nani,na kwa muda gani sasa umekuwa ukishikamana nayo ili angalau nipate amani ya kuendelea kuargue nawe. Maana haya ni mambo yenye gharama ya milele.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujificha kwenye kichaka cha kusema neno la mungu
Mkuu kuwa na rational mind
Weka supporting documents hapa
Unless otherwise hiyo ni ngonjera tuuu
Mathayo 12:38 Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. Mathayo 12:39 Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
 
Huwa napenda sana kusoma story na shuhuda za kiMungu, ila bahati mbaya nyingi ni za uongo na kutishana kama hii apa.

Fundisheni yaliyo mema kupitia kweli, sijui mmekuwaje yaani mnadanganya watu ili kupata kondoo.
 
Haya mafundisho unaweza kuniambia umefundishwa wapi,na nani,na kwa muda gani sasa umekuwa ukishikamana nayo ili angalau nipate amani ya kuendelea kuargue nawe. Maana haya ni mambo yenye gharama ya milele.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Cha kuongezea hapo, aweke ID yake real siyo hizo fake na kwenye avatar aweke sura yake ili twende sambamba nae.
 
Nimefundishwa na Roho wa Mungu
Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
 
Mathayo 12:38 Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako. Mathayo 12:39 Akajibu, akawaambia, Kizazi kibaya na cha zinaa chatafuta ishara, wala hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona.
Mkuu narudia tena let's evidence za huyo alie kuwa peponi na duniani hapa
 
Cha kuongezea hapo, aweke ID yake real siyo hizo fake na kwenye avatar aweke sura yake ili twende sambamba nae.
2 Timotheo 3:1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2 Timotheo 3:2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, 2 Timotheo 3:3 wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, 2 Timotheo 3:4 wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; 2 Timotheo 3:5 wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao. 2 Timotheo 3:7 wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
 
Mkuu narudia tena let's evidence za huyo alie kuwa peponi na duniani hapa
Kama huwezi niamini mm huwezi kumwamini hata akija!!

Back
Top Bottom