Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Oya wadau wabishi km mm tumsimbeze cha msing apa ampe simu uyo mlokole aje hapa tumuulize maswali

1.je mwili,sura , umbile la huko ni km hili la binadamu

2.ataueleze io mijitu ya kutisha imafananaje na je akienda ONG BAK Huko hawez kuyapiga KO

3.madhar ya eneo likoje kuna jua na mwrz mawingu nk

4.hao malaika aliwaona sura zao ili tuingizie kwenye kujaribu kuchora sura zao

Maswali ni mengi uyo km ni kwel ilibid aweke lockup na wanasayans kuna haja ya kud3velop technologia ile iwe rahis watu kufanya astral projection
Ufunuo wa Yohana 21:23 Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo.
 
1 Wakorintho 15:40 Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali. 1 Wakorintho 15:41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. 1 Wakorintho 15:42 Kadhalika na kiyama ya watu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika; 1 Wakorintho 15:43 hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; 1 Wakorintho 15:44 hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.
We jibu maswali clearly acha kutumia mistar ya biblia
 
Hiyo sio hoja kama watu wanasafiri kutoka hapa Tz mpaka India kwa sababu ya tiba ya mwili si zaidi ya Roho yako, unashindwa kusafiri kwenda kubatizwa sehemu yenye maji mengi??? Na wakati huo huo unasafiri kila siku kwenda ulaya
Isitoshe hapa bongo hamna hilo jangwa hivyo hiyo sababu haina mashiko
Hawa hapa waliojua umhimu wa maji mengi walisafiri
Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.
Maji mengi yanaongeza nini kwenye roho ya mtu na uhusiano wake binafsi na Mungu?. Watu wanamiliki mabwawa ya kuogelea lakini bado dhambi zinawatesa na kuwaangamiza. Kuna siku utatuletea uzi wa kutuletea amri yako ya "11" kwamba tusivae suruali ni dhambi bali tuwe tunavaa " kanzu" kama Yesu ili tufike mbinguni. Mafundisho ya Kifarisayo hayo ya kuchuja mbu na kumeza ngamia. Sio kila mnachofundishwa huko "makanisani" basi mkizoe kama kilivyo. Watu huanzisha "dini" na "madhehebu" wakiwa na ajenda zao. Fungua macho!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mungu mjanja so kaamua kumfufua mchizi aje alipe madeni ya watu kwanza

Mungu hapendi dhulma
 
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Yohana 14:7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
Ewe Mpumbavu

Methali 26:4-12

Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
 
We jibu maswali clearly acha kutumia mistar ya biblia
Neno la Mungu ndo Dira, siwezi kukujibu bila maandiko utaanza kuniambia hizo ni fikra zangu
2 Timotheo 3:16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
 
Ewe Mpumbavu

Methali 26:4-12

Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
Mithali 16:2 Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe;
Bali BWANA huzipima roho za watu.
 
Luka 20:34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; Luka 20:35 lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; Luka 20:36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
Nikusaidie nini ?
 
Mungu mjanja so kaamua kumfufua mchizi aje alipe madeni ya watu kwanza

Mungu hapendi dhulma
Yohana 1:23 Akasema, Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.
 
Yohana 10:27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Yohana 10:28 Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Yohana 10:29 Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Yohana 10:30 Mimi na Baba tu umoja.
Ebu kwanza tuambie mke wa Yesu (kwa mujibu wa Ndugai) alikuwa mtu wa namna gani.
 
Maji mengi yanaongeza nini kwenye roho ya mtu na uhusiano wake binafsi na Mungu?. Watu wanamiliki mabwawa ya kuogelea lakini bado dhambi zinawatesa na kuwaangamiza. Kuna siku utatuletea uzi wa kutuletea amri yako ya "11" kwamba tusivae suruali ni dhambi bali tuwe tunavaa " kanzu" kama Yesu ili tufike mbinguni. Mafundisho ya Kifarisayo hayo ya kuchuja mbu na kumeza ngamia. Sio kila mnachofundishwa huko "makanisani" basi mkizoe kama kilivyo. Watu huanzisha "dini" na "madhehebu" wakiwa na ajenda zao. Fungua macho!.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hatubatizwi ili tusiwe na dhambi ila tunabatizwa ili kuitimiza haki yote
Mathayo 3:14 Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu? Mathayo 3:15 Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali. Mathayo 3:16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
 
Ebu kwanza tuambie mke wa Yesu (kwa mujibu wa Ndugai) alikuwa mtu wa namna gani.
Yesu hakuwa na mke!!!
Mathayo 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
 
Kwahiyo mkuu huko mbinguni wataenda wakristo tu?

Basi nafasi zipo nyingi maana wasio wakristo mtapokelewa na yale majitu mawili ya kutisha.

Kwa mujibu wa maelezo ya mleta mada

note:
Rekebisha story yako, nimewahi kuiskia muda sana hii story. . umesema wakatokea watu wamevaa mavazi meupe, yeye alijuaje hao ni malaika? Na yale majitu yalikuwa uchi au yalivaa nguo za rangi gani?
 
Narudia tena, TUSITISHANE
Mkuu funguka tusitishane nini???
Waebrania 4:12 Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo. Waebrania 4:13 Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu na kufunuliwa machoni pake yeye aliye na mambo yetu.
 
Kwahiyo mkuu huko mbinguni wataenda wakristo tu?

Basi nafasi zipo nyingi maana wasio wakristo mtapokelewa na yale majitu mawili ya kutisha.

Kwa mujibu wa maelezo ya mleta mada

note:
Rekebisha story yako, nimewahi kuiskia muda sana hii story. . umesema wakatokea watu wamevaa mavazi meupe, yeye alijuaje hao ni malaika? Na yale majitu yalikuwa uchi au yalivaa nguo za rangi gani?
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
 
Back
Top Bottom