Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Sisemi kwamba hakuona hayo..., issue ni kwamba sababu aliyaona haimaanishi kwamba yalitokea

Kuna jamaa yangu Rass huwa akishatumia mmea anaona mengi sana..., ila sio kwamba kweli huwa yametokea (Hallucinations)
 
Magu si ndio anaoomgoza malaika shida ipo wap
Isaya 55:7 Mtu mbaya na aache njia yake,
Na mtu asiye haki aache mawazo yake;
Na amrudie BWANA,
Naye atamrehemu;
Na arejee kwa Mungu wetu,
Naye atamsamehe kabisa. Isaya 55:8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Isaya 55:9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
 
Habari ya asubuhi wakuu!! Hiki ni kisa cha kweli kwa ambaye sio muumini wa Mbinguni na kuzimu hivyi vyitu ni halisi!!!
Miaka kadhaa iliyopita ndugu yangu, aliumwa sana wakati yupo hospitalini tunaamuuguza, alikuwa ameokoka (mlokole), hivyo kwenye ile wodi wachungaji mbalimbali walikuwa wanapishana kuja kumuombea maana aliumwa kipindi kirefu sana, Siku moja jioni alizidiwa na hatimae kufariki dunia( kwa mjibu wa dakitari ) baada ya taratibu za hapa na pale mwili kuandaliwa! Kupelekwa mchowari alipiga chafya na kurejea na kutoka pale akawa mzima mpaka leo, alichokisema ni hiki hapa baada ya kuzinduka
1: kuna maisha baada ya haya, anasema alitoka nje ya mwili wake na akaona jinsi dakitari alivyokuwa anampima pima na jinsi ndugu walivyoanza kulia, baada ya hapo alijikuta yupo dunia nyingine kabisa tofauti na hii!!
2: anaendelea kusema unakuwa na akili zako zote na kumbukumbu zako zote, maana yeye alipofika eneo hilo alikuwa anakumbuka kila kitu kilichopo duniani, na alijua amekufa!
3: matendo yako ndo yataamua uende njia ipi , ya mbinguni au kuzimu, anasema baada ya kufika eneo aliona kwa mbali majitu mawili ya kutisha yanakimbia kuja kumlaki!, lakini ghafula wakashuka watu wawili wamevaa nguo nyeupe wale majitu waliopoona wale watu wawili walirudi nyuma, wale malaika wakamwambia arudi abatizwe kwa maji mengi, maana hawezi kuingia mbinguni, na ndo maana wale majitu yalikuwa yanamfuata!! Baada ya kuambiwa rudi duniani ukabatizwe ndipo akarejea duniani!
Note:
1:Hamna mtu atakayeenda mbinguni bila kumwamini Yesu!!
2: ukitaka kwenda mbinguni fuata yote aliyoyafanya Yesu ikiwemo ubatizo aliobatizwa sio vinginevyo!!!
Huu ushuhuda ni kweli wakuu!! Sio wa kudharau!!!
Hapa kwenye "kubatizwa kwa maji mengi" ndio lengo kuu la uzi wako. Wanaoishi jangwani unawasaidiaje?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Sisemi kwamba hakuona hayo..., issue ni kwamba sababu aliyaona haimaanishi kwamba yalitokea

Kuna jamaa yangu Rass huwa akishatumia mmea anaona mengi sana..., ila sio kwamba kweli huwa yametokea (Hallucinations)
Mathayo 7:16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? Mathayo 7:17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mathayo 7:18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Mathayo 7:19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Mathayo 7:20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.
 
Swali lako la msingi ni lipi mkuu???
Nahisi una matatizo kichwani.Kwa hiyo ulikuwa unatoa vifungu vya Bible bila kuelewa dhamira na matumizi yake? Hivi kwenye hayo madhehebu hamfundishwi hata kidogo elimu ya dini na imani? Ona sasa unachojua ni kuropoka tu vifungu vya Biblia ulivyokariri ambavyo pengine hata wewe huelewi!
 
Hapa kwenye "kubatizwa kwa maji mengi" ndio lengo kuu la uzi wako. Wanaoishi jangwani unawasaidiaje?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hiyo sio hoja kama watu wanasafiri kutoka hapa Tz mpaka India kwa sababu ya tiba ya mwili si zaidi ya Roho yako, unashindwa kusafiri kwenda kubatizwa sehemu yenye maji mengi??? Na wakati huo huo unasafiri kila siku kwenda ulaya
Isitoshe hapa bongo hamna hilo jangwa hivyo hiyo sababu haina mashiko
Hawa hapa waliojua umhimu wa maji mengi walisafiri
Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.
 
Oya wadau wabishi km mm tumsimbeze cha msing apa ampe simu uyo mlokole aje hapa tumuulize maswali

1.je mwili,sura , umbile la huko ni km hili la binadamu

2.ataueleze io mijitu ya kutisha imafananaje na je akienda ONG BAK Huko hawez kuyapiga KO

3.madhar ya eneo likoje kuna jua na mwrz mawingu nk

4.hao malaika aliwaona sura zao ili tuingizie kwenye kujaribu kuchora sura zao

Maswali ni mengi uyo km ni kwel ilibid aweke lockup na wanasayans kuna haja ya kud3velop technologia ile iwe rahis watu kufanya astral projection
 
Nahisi una matatizo kichwani.Kwa hiyo ulikuwa unatoa vifungu vya Bible bila kuelewa dhamira na matumizi yake? Hivi kwenye hayo madhehebu hamfundishwi hata kidogo elimu ya dini na imani? Ona sasa unachojua ni kuropoka tu vifungu vya Biblia ulivyokariri ambavyo pengine hata wewe huelewi!
Nahisi una matatizo kichwani.Kwa hiyo ulikuwa unatoa vifungu vya Bible bila kuelewa dhamira na matumizi yake? Hivi kwenye hayo madhehebu hamfundishwi hata kidogo elimu ya dini na imani? Ona sasa unachojua ni kuropoka tu vifungu vya Biblia ulivyokariri ambavyo pengine hata wewe huelewi!
Dini haimpeleki mtu mbinguni!!
 
Ujumbe unaotaka kuleta au kusisitiza kwenye huu uzi wako ni ubatizo wa maji mengi basi hamna la zaidi.

Kama kuingia mbinguni ni kufanya copy & paste ya kila alichofanya Yesu. Mathalani kubatizwa kwa staili ya Yesu alivyobatizwa Basi pia inabidi wote tukabatizwe mto yordani alikobatiziwa yesu tena kwa maji yaliotuama. Na wala sio tiririka kama huku mfanyavyo au kwenye mitungi na visima vya kutengeneza.
Na pia wote tusioe au kuolewa
 
Isaya 55:7 Mtu mbaya na aache njia yake,
Na mtu asiye haki aache mawazo yake;
Na amrudie BWANA,
Naye atamrehemu;
Na arejee kwa Mungu wetu,
Naye atamsamehe kabisa. Isaya 55:8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA. Isaya 55:9 Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Sikia !! Hio mistar hatuna uhakika bado km ni kwel tuletee uyo mlokole hapa tumbane kwa maswali ili tujue ukwel
 
Oya wadau wabishi km mm tumsimbeze cha msing apa ampe simu uyo mlokole aje hapa tumuulize maswali

1.je mwili,sura , umbile la huko ni km hili la binadamu

2.ataueleze io mijitu ya kutisha imafananaje na je akienda ONG BAK Huko hawez kuyapiga KO

3.madhar ya eneo likoje kuna jua na mwrz mawingu nk

4.hao malaika aliwaona sura zao ili tuingizie kwenye kujaribu kuchora sura zao

Maswali ni mengi uyo km ni kwel ilibid aweke lockup na wanasayans kuna haja ya kud3velop technologia ile iwe rahis watu kufanya astral projection
1 Wakorintho 15:40 Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali. 1 Wakorintho 15:41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. 1 Wakorintho 15:42 Kadhalika na kiyama ya watu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika; 1 Wakorintho 15:43 hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; 1 Wakorintho 15:44 hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.
 
Na pia wote tusioe au kuolewa
Luka 20:34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; Luka 20:35 lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; Luka 20:36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
 
Kwa hiyo?
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Yohana 14:7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
 
Sikia !! Hio mistar hatuna uhakika bado km ni kwel tuletee uyo mlokole hapa tumbane kwa maswali ili tujue ukwel
Luka 16:19 Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. Luka 16:20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, Luka 16:21 naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake. Luka 16:22 Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Luka 16:23 Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Luka 16:24 Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Luka 16:25 Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Luka 16:26 Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. Luka 16:27 Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, Luka 16:28 kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Luka 16:29 Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. Luka 16:30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Luka 16:31 Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
Then director akasikika akisema "cut, cut, cut, cut"
 
Back
Top Bottom