Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

Huna haja ya kumjibu
Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu. Yohana 3:19 Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu. Yohana 3:20 Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa. Yohana 3:21 Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.
 
Mkuu nakushauri labda ungebadilisha kichwa cha habari kisomeke "Kisa cha kusadikika". Vinginevyo ukiandika "kisa cha kweli" wakati wewe mwenyewe umesimuliwa na huna uhakika kama hicho ulichohadithiwa ndio hasa alichokiona msimuliaji, unatupa mashaka.
 
Niliposoma hapa nimehitimisha hii stori yako ni ya kutunga tu au kutisha watu.
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Sawa mchungaji
 
Mkuu asante kwa ushuhuda mzuri! Aise kuna yule Mnyanganyi Msalabani hakubatizwa lakini alipokufa aliingia Peponi baada ya kupewa assurence na BWANA Yesu! vipi hilo?
Luka 23:39-43
 
Mkuu kwanini utudanganye mchana kweupe.

Una lengo zuri lakini Kuongopa nidhambi ujue... aliyekusimulia hicho kisakale alikupiga.
 
Wewe ni Kristo?
Kuna uhusiano wa majibu yako na maoni niliyotoa kwamba angekuja mwenyewe aliyekufa ili tumwamini?
 
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Nilikwepo mbinguni siki hiyo jamaa nilimuona,alikuja mbinguni amechoka sana,vipi anaendeleaje huko duniani
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Wewe ni Kristo?
Kuna uhusiano wa majibu yako na maoni niliyotoa kwamba angekuja mwenyewe aliyekufa ili tumwamini?
Luka 16:30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Luka 16:31 Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
Mbinguni wanaongea lugha gani?
Ufunuo wa Yohana 21:3 Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao. Ufunuo wa Yohana 21:4 Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita. Ufunuo wa Yohana 21:5 Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli. Ufunuo wa Yohana 21:6 Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure. Ufunuo wa Yohana 21:7 Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
 
Mkuu kwanini utudanganye mchana kweupe.

Una lengo zuri lakini Kuongopa nidhambi ujue... aliyekusimulia hicho kisakale alikupiga.
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Unawezaje kukariri mistari yote hii ulishindwaje kukariri formula za hisabati shuleñj
 
1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…