Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

Nakumbuka kama sijasahau, kuna mtu alishawahi leta simulizi inafanania na hii ya kwako hata mazingira yana fanana. Yeye alikwenda kusoma sekondari kwa Baba yake mdogo ambaye alikuwa Mwalimu Mkuu wa shule huko Kanda ya Ziwa. Ila Kuna sehemu uliandika Veronica badala ya Vumilia ndio ikanistua kwani moja ya Muhusika wa hiyo simulizi alikuwa ni Veronica ambaye alimpenda huyo jamaa na Veronica naye alikuwa na uhusika wa Uchawi. Sikumbuki vyema ile simulizi ilikuwa inaitwaje labda Kuna wanayo Ikumbuka.
 
hiyo ni simulizi ya mwamba mmoja huyu ndani anaitwa UMUGHAKA ....hafu kama umenifumbua macho....huyu jamaa kama anatunga kupitia mule mule alopitia umughaka
 
Hiyo simulizi inaitwa "tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe", ni ya UMUGHAKA hiyo na yule mwanamke wa Umughaka alikuwa anaitwa Monica, siyo Veronica
 
Hiyo simulizi inaitwa "tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe", ni ya UMUGHAKA hiyo na yule mwanamke wa Umughaka alikuwa anaitwa Monica, siyo Veronica
Shukrani sana! Zinafanana kwa kiasi fulani
 
Mine story is very genuine.

Unapotoa tuhuma kama hii jitahidi basi angalau kuonyesha, zimefanana kivipi?

Mimi sio mtunzi wa story, najaribu kuelezea yale niliyoyapitia. Sasa unapotoa tuhuma za kukopi story ya mtu, onyesha zinafanana wapi?

Mbona hata mazingira unayoyazungumzia hayafanani, mimi sikwenda kusoma kwa baba mdogo na wala baba yangu hakuwa mwalimu.

Kuhusu majina, nilisema toka mwanzo majina yanayotumika kwenye hii story sio halisi. Hilo kosa la kuandika, jina la Veronika lilitokea kwa bahati mbaya tu, maana kuna muda unaandika unamfeel mtu hadi unasahau kumuandika kwa jina ulilompa. Na nimeshakosea majina zaidi ya mara moja ila nilikuwa naedit nikirudia kusoma. Hilo jina la Veronika sikuliona, mpaka mdau aliposema kwenye comment ndio nikarudi kusoma nikakuta kweli, sikuona haja ya kuedit maana wengi walikuwa wameshalisoma.

Ungekuwa na akili hiyo ilikuwa ni proof ya kuonyesha kwamba hii story ni genuine.

BTW hakuna anayekuomba usome hapa, ukiona nacopy unaweza kwenda kusoma huko ninakocopy. SIMPLE

You can get your crooked ass outta here. STUPID
 
uchunguzi wako wa kipuuzipuuzi uutoe hapa,usitake kutuharibia radha,,wengi wetu hiyo story tunaijua hakuna sehemu iliyokopiwa,,, halafu eti unajikuta kumtag umughaka ili aje kushuhudia anavyoibiwa mafaili, u*b*** wewe...
 
hiyo ni simulizi ya mwamba mmoja huyu ndani anaitwa UMUGHAKA ....hafu kama umenifumbua macho....huyu jamaa kama anatunga kupitia mule mule alopitia umughaka
Mulemule wapi?

Wewe nae unakuwa lijinga jinga tu lisilo na akili, mfuata upepo.

Yaani usome story mbili zinazofanana ushindwe kung'amua, hadi uje kufumbuliwa na mtu mwingine.

Basi huna akili.

Na kama huna akili ya kung'amua vitu vinavyofanana, utatoa wapi akili ya kung'amua kwamba napita mule mule.

Na wala hujalazimishwa kusoma hapa.

No one needs your rotten asshole here...
 
Hiyo simulizi inaitwa "tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe", ni ya UMUGHAKA hiyo na yule mwanamke wa Umughaka alikuwa anaitwa Monica, siyo Veronica
Achana na Monica, hata kama kwenye hiyo story mnayoisema angekuwa Veronika vile vile, bado isingekuwa proof ya kusema ninamkopi mtu. Onyesha sehemu gani nimecopy?

Kwani majina ya watu siku hizi hayafanani?
 
mkuu achana na hawa wapuuzi..hawa ni wale ambao hawasomagi stories humu, kama wangekua wafuatiliaji kweli wasingekuja na shombo zao hizo,, kwamaana kila kitu kiko wazi...
 
Shukrani sana! Zinafanana kwa kiasi fulani
yani limtu limo humu kitambo,lakini linashindwa kutofautisha story...umekazana tu imekopiwa sijui zinafanana,,zinafanana nyoko....
 
Inavutia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…