Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

Kisa cha kweli: Tarimo alimlipa Measha Toyota Stout baada ya fumanizi

Wadau hamjamboni nyote? Hiki ni kisa cha kweli ambacho kilitokea Moshi.

Tarimo na Mwasha walikuwa marafiki wakubwa na wote ni wafanyabiashara, japo Mwasha tajiri zaidi. Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini.

Tarimo akamtongoza mke wa rafikiye. Mke akamwambia mumewe kuhusu jambo hilo na fumanizi likapangwa.

Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha akiwa uvunguni mwa kitanda. Kwa usalama wake na hii ni baada ya kushikiwa mtutu wa bunduki
akauza gari lake bila kulipwa hata mia moja.
Yesuuu na mariaah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221107-111506_1668690974199.jpg


Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom