Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Mr...
Nimeandika historia ya Sheikh Chambuso na Ahmada kwa nia ya kuwaeleza wale wasiowajua wawafahamu kuwa hawa vijana ni vijana wema katika jamii.

Fikiria kijana anajitolea kusomesha Qur'an na Uislam katika madrasa yake na katika shule za sekondari bila ya malipo yoyote.

Kilichonishangaza anatokea mtu anawakashifu hawa vijana na anamtoa hamnazo mwandishi.

Hapa ghafla maudhui yamebadilishwa kutoka historia ya kupendeza na kuelimisha inakuwa malumbano ya nani amesoma vyema na nani bingwa wa Uislam.

Yote haya yana haja gani?

Natija gani itapatikana kwa kumkandamiza nduguyo Muislam?

Unapeka ujumbe gani kwa wale waliomdhulumu nduguyo?

Hakika ikiwa hupendi maandishi ya Mohamed Said unayapita tu kwa salama.

Huna haja ya kusoma.

Unagonga DELETE na jambo limemalizika.
 
Mzee mohamedi pole sana. Wewe ni mwalimu wangu wa hiyar. Hata mm nakumbana na maswahaba kama yako nikiwa kazini. Nafanya kazi na watu wasielewa mambo kwa kina lakini wanaoitwa wasomi! Wamejaa humu jukwaani. Pole sana.
Kwangu tatizo siyo ugaidi maana hajawahi kuwepo Tanzania.... tatizo ni tafsir ya neno gaid.
 
Inakuwa shwari kwa sababu hao wanaofanya hayo matokeo ya ugaidi wana kuwa hao hao serikali. Tumeshaona mara nyingi watu wakikamatwa Na kulazimishwa kuchukua mapanga Na Polisi Na hupigwa picha tukaambiwa eti walitaka kushambulia polisi. Hayo tumeshayazowea kwa vyama vya Siasa hasa siku Za uchaguzi
 
Kiinua...
Wahenga walisema ujinga donda la kichwa.
 
answer my swali pls
 
oky
 
Uislam unataka watu wasome na wajue kutatua matatizo yao kwa njia ya elimu...Ikiwa jamii itatengeneza wasemaji badala ya wasomi,faida yake ni hii...Hata siku moja,ulimi hauleti suluhisho katika Jamii

Ndio maana Uislam ukatufunza,Ikiwa Mtawala ni muovu na dhaalim,na Raia zake ni dhaifu hawana hila na uwezo wa kumtoa...Basi kukaa kimya ni bora kwao hata kama watapigwa migongo yao na kuchukuliwa mali zao....ni juu yao kujilazimisha na Subra,kwani hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho....

Tusomeni Dini yetu
 
Acha kuongea km popoma , ni kanisa Gani na ni siku Gani kanisa lilishika nchi?
 
Oky,
Wamarekani wanathamini sana utafiti wao wanaamini elimu yote iko ndani ya utafiti.

Ukifika vyuo vya Marekani wana vijana wadogo kutoka kila kona ya dunia wanafundisha katika vyuo vyao.

Ukifika Johns Hopkins University, Washington utashangaa kuwaona vijana kutoka India na Bangladesh wanasomesha na kufanya.urafiti hapo.

Juu ya kuwa Wamarekani ''waliniadhibu,'' kwa kuwa tulipishana katika suala la ugaidi walinialika kwao kuzungumza katika vyuo kuhusu historia ya Tanganyika.

Wakati wao wananialika walikuwa wamechelewa nilikuwa nishazungumza vyuo vingine kabla na kuandika ''paper'' kadhaa kwa hiyo matatizo ya nchi yetu yalikuwa yanafahamika kwingi na watafiti walikuwa wakija na kufanya tafiti zao mbalimbali katika kutafuta ukweli wa yale yanayotusibu.

Moja ya waliyotaka sana kujua ni hili la ugaidi na ''paper,'' niliyowasilisha University of Ibadan hawakuipenda.

Paper hizo zote hapo chini zinaweza kupatikana Library of Congress, Washington DC:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006.
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam.
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam.
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi).
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA.
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.


Library of Congress, Washington DC


 
Nimejaribu kutrace reply za huyu mtoa post anasumbuliwa na vifuatavyo

1) hana uzalendo wa taifa lake
2) kafungwa minyororo ya udini haambiw wala haelew kitu
3) hajui mfumo wa uendeshaji wa nchi yake mf anasema kanisa limeshika nchi ( poor reasoning ever mbele ya watu wazima)
4) Propagandist ( Mchochezi kimkakati kwa maslai binafs )
Huyu mtu tuwe nae makini jaman , ni mchochezi wa hali na mali , watanzania tusimame kidete kuutunza umoja , amani na upendo baina yetu bila kujali itikadi zetu , Jeshi la polisi lina viongoz waumin wa uislamu kwa wakristo hata bungeni ni hivyo hvyo pia hata baraza la mawazir pia ni hivyo hivyo , ktk nyadhfa tatu za juu tangu kipind cha Mwinyi waislam wamekuwa wakishika nyadhfa 2 kati ya 3 za juu kbs taifani mf tangu serikali ya kikwete Rais alikuwa muislam na makam ni muislam pia hata Kipind cha magu makamo alikuwa muislam na wazir mkuu ni muislam pia hata awam hii rais ni muislam pia hata wazir mkuu ni muislam , sasa huyu masikn mmoja anakuja kuona hao mashehe wanaonewa kuliko hata waislamu wenzak ambao wapo serikalin na wahusika kweny uendeshaj wa kesi za hao jamaa , USIONE KAMA WATZ HATUJIELEWI ASEEW
 
Unamwitaje mtu mwema ilihali hulali nao na wala hushindi nao , Gaidi anaeza vaa sura yyt either mchungaj , padre , sheikh , imam , mwl , daktar , injinia , hata kuwa omba omba , UGAIDI unajificha ndani ya kichaka kik mf kuna dogo alipatikana huko Garissa kweny lile tukio la kigaidi ingalikuwa wazaz wake walijua yupo masomoni dodoma , just imagine serikali ingemkamata huyo mtot mapema , najua ungekuja na thread apa ya kumtetea mwislam mwenzio , kwa hayo maandish machach nakushaur acha kumtetea mtu usijua undani wke kisa unamwona wasif wke wa njee , serikali haiwez kumwonea mtu ukizingatia serikal imejaa waislam kuanzia ikulu bungeni hadi jeshini hao wote sio vipofu na wanaipenda dini yao ata kuliko ww , OVA
 
4by...
Hawa vijana si mimi ninaowafahamu mji mzima wa Tanga wanafahamika kwa ubinadamu wao kama nilivyoeleza.

Sheikh Chambuso aliachiwa na mahakama.
Sheikh Kidege huu mwaka wa pili ushahidi haujaletwa mahakamani.
 
Ndani ya serikali kuna watu wa dini zote, waislamu pia wapo, si rahisi serikali ikawa na ajenda kama hiyo, na ingekua hivyo hayo matukio yasingeliisha wanapokamatwa bali yangeendelea kwa kisingizio cha kuupimga uislamu...

Jambo moja ambalo yafaa binadamu wote tulielewe ni kuwa, haitokaa iwezekane dini fulani ikafanya juhudi za kuipiteza dini nyingine katika hii dunia, hasa hizi dini mbili zenye waumuni wengi zitaendelea kuwepo hata iweje...hakuna iliyo bora ya nyingine, itoshe kuheshimiana, kujaliana na kuthaminiana tuishi kwa amani basi.
 
Inte...
Hili ni tatizo kubwa sana na limepata kusemewa na wengi kwa kutaja wachache - Warsha (1981), Jumbe (1992), Malima (1987) na Kondo (1999).

Angalia hapo chini ukurasa kutoka Waraka wa Jumuia ya Wanataaluma wa Kiislam (2021).
Hili ni suala nyeti sana kiasi serikali siku zote imekuwa kimya.

Kujadili jambo hili linataka ujuzi na utulivu wa fikra.

 
We mzee kumbe una matatizo [emoji23][emoji23][emoji23]mpaka leo unaangalia dini kwenye uongozi. Cha msingi ni kuangalia je viongozi ni wakiafrika watu kama nyie ndio mpo radhi kuongozwa na mkoloni Mwarabu kisa dini moja.. Unasema ulipigania uhuru ila inaonyesha ulikua msindikizaji tuu
 
Hili zee lililoleta uzi huu ni lidini na mtu mzima ovyo yupo radhi amsaidie Mwarabu anayemuita nyani kisa muislamu na kuacha kumsaidia Mwafrika mwenzake kisa sio muislamu.. Hawa watu hawataki kuongoza nchi
 
Edwayne,
Kwa kweli si adabu kumwita mtu "We fulani," khasa unapojua kuwa huyo unaezungumza nae ni mzee kama mie au ni mtu mzima wa makamo.

Adabu ni kitu cha bure.
Hii ni dalili ya kibri au kuwa umeghadhibika.

Mimi sijasema nimepigania uhuru.

Waliosimama dhidi ya ukoloni ni babu, bibi, baba, wajomba na shangazi zangu na nimeandika kitabu kuhusu historia hii.

Hawa ndiyo waliounda African Association na TANU wakapigani uhuru wa Tanganyika kuweka haki na usawa kwa watu wote.

Nilichoweka hapo kinaonyesha hali iliyopo nchini.

Wafuasi wa dini moja wamehodhi uongozi.

Hii ni fitna.

Inaelekea hujui tatizo linalokabili nchi yetu au hupendi kuona mgawanyo wa haki kwa waumini wa dini zote.

Ikiwa hujui ukweli huu hutoweza kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…