Kisa cha mapenzi: Kama asingetumia kondomu huenda angelea mtoto asiyewake au kupata maradhi

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu.

Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa. Wakakosana.

Baada ya wiki thelathini na nne (miezi minane na nusu) Asha alijifungua mtoto. Asha akamweleza Kevin ya kwamba alitaka kumpa mtoto kwa vile baba mtoto alikua mlevi.

 
Sawa Kevi...

Hongera kwa kuponea chupuchupu,

Siku nyingine chukua tahadhari.
 
Siku hizi kubambikiwa kumekuwa kawaida saaana....!! Ndo maana hua siamin mtu akinambia ana mimba yangu....hua nafuata moyo wangu (moyo ukinambia negative huna nafuata huko huko....na nmeponea mara 2 kubambikiwa kisa mabwana zao hawaeleweki)
 
Kumwekelea? Sijaelewa na uo ulevi ndio kanisa
 
Nikiwaga ofisin nilibahatika kupiga story na wajawazito wengi...!!na katika 8 basi 6 walibambikia watu mimba...!!

Mimi naamini kama mimba ni yako kuna kitu ndan yako kitakubali tuu...!!japo pia cheki na tabia za mwanamke mwenyew...!!
 
Kuna umuhimu kila mtoto anayezaliwa vipimo vya DNA vichukuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…