beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Jan 20, 2023 #21 Bujibuji Simba Nyamaume said: Dah, sijui binti alimfanyia nini hadi akamchukia hivyo? Hadi Steve Jobs akaamua kuwa punga [emoji304] Click to expand... Acha uongo. Steve Jobs hakuwa punga.
Bujibuji Simba Nyamaume said: Dah, sijui binti alimfanyia nini hadi akamchukia hivyo? Hadi Steve Jobs akaamua kuwa punga [emoji304] Click to expand... Acha uongo. Steve Jobs hakuwa punga.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jan 21, 2023 #22 dah hela ndogo sana aliyoacha. Heshima kubwa ila hela hamna. Wachezaji wa sasa wanapiga hela sana kwa kweli.
dah hela ndogo sana aliyoacha. Heshima kubwa ila hela hamna. Wachezaji wa sasa wanapiga hela sana kwa kweli.
Panzi Mbishi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2021 Posts 2,231 Reaction score 2,904 Jan 22, 2023 #23 dos.2020 said: dah hela ndogo sana aliyoacha. Heshima kubwa ila hela hamna. Wachezaji wa sasa wanapiga hela sana kwa kweli. Click to expand... Hakuna hela kubwa, heshima yatosha
dos.2020 said: dah hela ndogo sana aliyoacha. Heshima kubwa ila hela hamna. Wachezaji wa sasa wanapiga hela sana kwa kweli. Click to expand... Hakuna hela kubwa, heshima yatosha