Kisa cha masalia Wasabato na hali yetu ya sasa

HAPANA biblia HAISEMI Yesu ni Mungu Mweza Yote...
Read Jeremiah 32:17

QUOTE="mr chopa, post: 34993756, member: 383440"]
Ni kichaa tu atakae amini yesu ni mungu


Sent from Tapatalk
[/QUOTE]

Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
 
Nadhani kunatofauti kati ya dhehebu la wasabato masalia na dhehebu la waadventista wasabato s.d.a, walio enda uwanja wa ndege walikuwa wasabato masalia, ila wote wanaabudu jumamosi. Ngoja waje watatuambia
Ndivyo ilivyo, umefafanu vizuri. Wanaojaribu kuwachanganya ni wale wasioelewa tofauti uliyosema.
 
Read Jeremiah 32:17

Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
hilo mbona halisema Yesu ni Mungu....
Read Jeremiah 32:17
Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
mkuu nimesoma ila sijaona Yesu akisemwa
 
Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
Ukitaka kuamini angalia hata utetezi wako unafikiri mungu anapatikana kwa ajili ya kusema Kama hivi=yesu sio mungu yesu Ni MUNGU mungu wa kweli aliomuumba huyo yesu Ni yule alie mlilia pale msalabani _akasema eee mungu wangu mbona umeniacha ndio alienifungua mimi macho na ndio atakae kufungua wewe macho

Sent from Tapatalk
 
Huwa najiuliza nakosa jibu Kama Yesu ni Mungu Ina maana yesu alipokufa ulimwengu ulibaki bila Mungu kwa siku zote mbili mpaka alipofufuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi hao wote na Ph.D zao wameshindwa kuona utapeli mkubwa wa Ellen G White!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo mbona halisema Yesu ni Mungu....

mkuu nimesoma ila sijaona Yesu akisemwa
Hilo ni kwa aliyetaka kufahamu kama Mungu ni muweza wa yote.

Kwa wewe unayetaka kujua kama Yesu ni Mungu kasome Yohana 1:1-3; Yoh 10:30; Yoh 20:28 na Yoh 14:19
 

Ndugu fulani hivi hapo juu naye kaomba kujua ni kwa vipi Yesu ni Mungu. Pokea nukuu hizi zikusaidie halafu katafute namna ya kuzibishia. kasome Yohana 1:1-3; Yoh 10:30; Yoh 20:28 na Yoh 14:19
 
Huu mfano wako mbona sio halisi? NAhisi kuna kitu unakitafuta au unataka kuibua hoja fulani.

Sijaona relation hiliopo kati ya wasabato masalia na huu ugonjwa wa corona, umetoa mfano dhaifu sana kaka,
Kwanini usingetoa mfano jinsi meli ya titanic hilivyozama uka refer na huu ugonjwa wa corona ? Siungesema watu walijisahau kwenye hile meli then wakaangamia?

Kipi haswa unataka ku target hapo. Mantiki yako ya kuwataja wasabato ni nini ndugu?
 
Kwa anangishye nadhani umekosea

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
hivi mkuu wasabato mnasemaje kumuhusu Yesu ni Mungu Mweza Yote au ni nani?
Yesu ni Neno la Mungu Aliyefanyika kuwa mwili. Ndio, ni Muweza ya yote.
Rejea Yohana 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
² Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
³ Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni kwa aliyetaka kufahamu kama Mungu ni muweza wa yote.

Kwa wewe unayetaka kujua kama Yesu ni Mungu kasome Yohana 1:1-3; Yoh 10:30; Yoh 20:28 na Yoh 14:19
1.Kulingana maandiko Yoh 1:1 linasema "HAPO MWANZO" je Mungu ana mwanzo?
2.Nini maana ya kuwa mmoja, unasemaje je wanafunzi wa Yesu walikuwa mtu mmoja baada ya kusoma Yoh 17:11? nini maana hasa ya kuwa mmoja!
pitia pia YOH.17:3 na Yoh.20:17
@Jah Bless
 
Siku itakapofika mta-lockdown mpaka Congo Street ya Kariakoo. Kwa sasa hali haija-warrant lockdown. Subirini tu hio siku iko karibu. India walio-lock down nchi nzima so kwamba hawana maskini. Wapo, tena wa kutupwa. Hapa serikali itabidi iangalie namna ya kusaidia watu kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…