[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah
Duh kumbe mwandishi mwendelezaji ni mwanamkeTena ukome kuniita Mpuuzi while huna kifua cha ustahimilivu.Uzi kuhamishwa tu umeleta maringo.Alafu usifikiri umaarufu wa mtandaoni ndio kila kitu bro,wala siutafuti na mie nimekushinda ukongwe kama ni swala la umaarufu ningeusaka siku nyingi sana.Acha kudeka deka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli alisusa
Sasa si umalizie basi??Ni mpuuzi mmoja anayetafuta umaarufu wa kipuuzi kupitia nyuzi za wenzie.
acha kimbelembele uzi haukuuusu kaa kwa kutulia.
Ungekuwa haunihusu mngeuweka watsap kwenye group lenu.acha kimbelembele uzi haukuuusu kaa kwa kutulia.
Tulia Basi sister mbona uzi wa watu huu si ukaushee tu kwani Kuna shida gani
Hukuitwa mpuuzi wewe.Tulia Basi sister mbona uzi wa watu huu si ukaushee tu kwani Kuna shida gani
Uandishi wako unakuchongea mkuu
Ni kweli alisema moderator wataendelezaHukuitwa mpuuzi wewe.
Afu umeona kukausha ilivo ngumu..
Uzi wa watu mwenye uzi hukuona aliposema moderator atauendeleza??
Mna act as if nimemkorofisha wakati kakorofisha mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si ulisema moderator watamalizia??Ni mpuuzi mmoja anayetafuta umaarufu wa kipuuzi kupitia nyuzi za wenzie.
Na avatarUandishi wako unakuchongea mkuu
Sio kesi lakini
Amekuwa mkalii!Mkuu si ulisema moderator watamalizia??
Hahaha Alafu msupa balaahDuh kumbe mwandishi mwendelezaji ni mwanamke