BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Tunaomba warembo waJF wakavamie PM ya Huyu jamaa hadi alegee aje amalizie hiki kisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi Maarifa kwenye ubora wake.
We jamaa kumaliza story zako huwa ni kasheshe lazma utafute visababu. Story zenyewe unacopy huko na huzimalizi unaacha watu wanalalamika tu, unajaza saver tu.
Acha michezo iyo mzee
Kumbe upo mkuu, nafarijika kuona upo hai.Huu ni Ulalamishi wa Mwanamke asiye na uwezo wa kupata mtoto. Sasa kama nina copy huko ....kwa nini usisome tu huko huko ukamaliza mpaka utake nimalizie mimi huku?
Halafu saver ni nini? Ni mbaya sana kuacha kutumia akili na badala yake unatumia sehemu nyingine za mwili.
😁😁😁😁😁😁
Aisee.... Kama akili yako imeishia hapa basi tatizo ni kubwa sana kuliko wataalamu wanavyosimulia. Hili ilitakiwa tudai pia lishughurikiwe halafu ndo ije Katiba.Kumbe upo mkuu, nafarijika kuona upo hai.
Unaosoma nao huko unakocopy walileta mwendelezo hapa, ukawakalia kooni kwa kukuharibia wasifu. Mi sipo uko unakozichukua na hii ni story ya pili unasema ni wewe yemekutokea.
Yaani kuna chizi maarifa wa sinza na wa kigoma. We jamaa muongo sana.
Binadamu wote tunatumia akili kufikiri, sasa kama hujui hata kitu kidogo kama hicho mkuu sijui uwezo wa kucopy hizi story unautoa wapi😂😂.
😂😂😂😂 Au sio mzebaba.Aisee.... Kama akili yako imeishia hapa basi tatizo ni kubwa sana kuliko wataalamu wanavyosimulia. Hili ilitakiwa tudai pia lishughurikiwe halafu ndo ije Katiba.
Mwnye stor alisusa cha ajab akaja mtu kuimalizia yy akammind ahahahah. hiiiiiiiiiHii story niliisoma zamani sana hadi nikasahau.... Kumbe haikuisha hadi leo??!
Sema boss ulikuja na pigo za kidem sana et UNASUSA mwanaume mzima kisa wameamisha uzi kwan huko ulikuwa unapata hela.Aisee.... Kama akili yako imeishia hapa basi tatizo ni kubwa sana kuliko wataalamu wanavyosimulia. Hili ilitakiwa tudai pia lishughurikiwe halafu ndo ije Katiba.
Hahahaaa kumbe ilikuwa sio ya kweli!Mwnye stor alisusa cha ajab akaja mtu kuimalizia yy akammind ahahahah. hiiiiiiiii
UNASUSA SUTHAAAAAAA