Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Lile Jini Katika Ubora Wake Toka Zenji Na Limefanikiwa!

Ni mpuuzi mmoja anayetafuta umaarufu wa kipuuzi kupitia nyuzi za wenzie.



Mpuuzi ni wewe uliyesusa!

Sent using Jamii Forums mobile app






acha kimbelembele uzi haukuuusu kaa kwa kutulia.



Ungekuwa haunihusu mngeuweka watsap kwenye group lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app



Tulia Basi sister mbona uzi wa watu huu si ukaushee tu kwani Kuna shida gani



Hukuitwa mpuuzi wewe.
Afu umeona kukausha ilivo ngumu..
Uzi wa watu mwenye uzi hukuona aliposema moderator atauendeleza??
Mna act as if nimemkorofisha wakati kakorofisha mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna watu bado wanosubiria hiyo hadithi?hamna kazi za kufanya?
 
Moderator mkianza kuruhusu watu wafanye huu uhuni kutakuwa na migogoro mingi sana humu JF. Huu uzi wa huyu aliyeandika hapa. Please tabia hii ikomeshwe otherwise muwe mnashirikiana naye. Nlishatoa taarifa naona mmenyamaza tu.
wap we mwenyewe unaringa kumalizia story mpaka ubembelezwe ka unaombwa kitumbua acha watu tubuludike
 

ushamba huu...
 
Mkuu leta mambo watu tukate kiu maana kama ni kubembeleza tumembembeleza sana [emoji23]

Shusha vitu watu tukate kiu
 

Tayali
 
Napenda watu wanaomalizia story pongezi na hongera kwake @Phoinix maana watu wanasimulia kisha wanaleta pozi, kuhamishwa kwa uzi kuna athari gani kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…