Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Hiyo sio kiasiliVp mashoga au wasagaji wakiridhiana ...nayo sio zambi?
Gaza hakuna.Jerusalem makahaba wapo, sembuse kinondoni
Naomba nitajie hiyo sheria. Please hiko kifungu neno ukahaba liwepoNi ngumu maana hata Sheria haikatazi ukahaba bali inakataza mtu kupata kipato kwa njia ya ukahaba
Litazamwe kwa jicho la churaNa hili nendeni mkalitizame
Alibariki amri ya 6 leo hii anaitwa mtakatifu.Nyerere alikuwa na akili sana