Memtata
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 587
- 1,863
- Thread starter
- #21
Kazi kweli kweli, na ngoma hana kweli labda aitafutie hapa. Huwa na tabia ya kuwapima wadada mapema maana ukweli mimi ni mgumu sana wa kutumia ndomNdo dada zetu hao, kazi kweli kweli , sema huyo joy ushamba ndo umemzidia. Mshauri atunze nauli asije Anza kuugua akaishia kuzikwa na counsel.