Memtata JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 587 Reaction score 1,863 Dec 21, 2022 Thread starter #21 nyamatongo said: Ndo dada zetu hao, kazi kweli kweli , sema huyo joy ushamba ndo umemzidia. Mshauri atunze nauli asije Anza kuugua akaishia kuzikwa na counsel. Click to expand... Kazi kweli kweli, na ngoma hana kweli labda aitafutie hapa. Huwa na tabia ya kuwapima wadada mapema maana ukweli mimi ni mgumu sana wa kutumia ndom
nyamatongo said: Ndo dada zetu hao, kazi kweli kweli , sema huyo joy ushamba ndo umemzidia. Mshauri atunze nauli asije Anza kuugua akaishia kuzikwa na counsel. Click to expand... Kazi kweli kweli, na ngoma hana kweli labda aitafutie hapa. Huwa na tabia ya kuwapima wadada mapema maana ukweli mimi ni mgumu sana wa kutumia ndom
Memtata JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 587 Reaction score 1,863 Dec 21, 2022 Thread starter #22 Tate Mkuu said: Maisha ni mepesi sana. Ila kuna baadhi yenu mnapenda sana kuyafanya yawe magumu. Click to expand... Mkuu safari yako ya France ilikuwa ya mishe gani alafu hebu niweke wazi huyo dem mwarabu uliyemuoa ulianza nae kitambo au ulimpata baada ya kutoka france
Tate Mkuu said: Maisha ni mepesi sana. Ila kuna baadhi yenu mnapenda sana kuyafanya yawe magumu. Click to expand... Mkuu safari yako ya France ilikuwa ya mishe gani alafu hebu niweke wazi huyo dem mwarabu uliyemuoa ulianza nae kitambo au ulimpata baada ya kutoka france