Kisa cha Mwalimu Genta na mwanafunzi wake aitwaye Lamomy

Kisa cha Mwalimu Genta na mwanafunzi wake aitwaye Lamomy

Mwalimu GENTAMYCINE: Lamomy Kwanini umechelewa kuja shule?

Lamomy: Kwasababu ya maelekezo ya kibao barabarani.

Mwalimu Genta: Maelekezo ya kibao yanahusianaje na uchelewaji?

Lamomy: Kibao kimeandikwa "School Ahead, Go Slow!" kwahiyo nikaona nisivunje sheria.
Yaani kila Mtu hapa JamiiForums akilini mwake amejaa tu GENTAMYCINE kwani huu sasa ni Uzi wa Pili leo Nafuguliwa hapa.
 
Wewe ni genius boss la ma boss lazima utajwe.
MBARIKIWA TUKUKA wa Mwenyezi Mungu. Halafu kinachonishangaza sasa wale WASIONIPENDA ndiyo Kutwa hawawezi kuingia ( Log In ) hapa JamiiForums na wasitafute Mada zangu mbalimbali. Hivi Mkuu Mtu akisema au akionyesha kuwa HAMPENDI kabisa GENTAMYCINE halafu bado tu anamfuatilia huyo siyo Mpumbavu na Mwendawazimu tukuka?
 
Huyo atakuwa juha kabisa, anatakiwa atajwe kwenye list ya makonda.
 
Back
Top Bottom