Kisa cha mzee Yusuph

Umemjibu kwa ujumla sana mkuu. anaweza akatatizika sana kama si muislam ni vyema ungemuelekeza uharamu wa qaswida unakuja vipi na wapi inakuwa halali.

tofauti ni hitikadi tu mkuu waislam wenye hitikadi kali ni wale wanaofuata kila kitu alicho elekeza mtume nikiwa na maana matendo na nyendo za mtume hawa wanaitwa suni

kwa wepesi hawa ndio wale ambao hufuga ndevu kama ni wake wanne kanzu fupi ki ujumla hawa jambo ambalo halikufanyika kipindi cha mtume wao hawalifanyi lau kama limeelekezwa kwenye quran

waislam wa leo tumeanza kuimba kasda na kasda zimeanza kuimbwa baada ya mtume na zimeimbwa kwenye maulid (maadhimisho ya siku ya kuzaliwa mtume)
hii ndiyo imefanya mpaka leo watu wanaimba kasda

lakin katka enzi za mtume kulikuako na maduf tu pasina kasda

sidhani kama nimeeleweka
 
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Yeah ni mziki mzuri.
Sikiza kibao hiki ("Nitadumu Nae").......unaanzaje kusema 'taarabu mbaya'!😀😀😀
 
Yeah ni mziki mzuri.
Sikiza kibao hiki ("Nitadumu Nae").......unaanzaje kusema 'taarabu mbaya'!😀😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaaaaaa.......
 
Yes kaka,nafikir kwa kipaji alichonacho Mzee,lazima atashauriwa kufanya Nasheed na atakuwa maarufu sana ktk Nasheed km akina Ust Yusuf Abdi na wengine
 
basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba

Unaijua BY THE RIVERS OF BABYLON? Kasome Zaburi 137

Kifupi iliimbwa na Bob Marley na BoneyM

We mshana kuna unalotafuta sio bure,mtu kaacha kufanya mavitu ha haramu bado unakuja kunyakunya eti sikubaliani nae who are you?yeye kamrudia mola wake wewe unawashwa nini sasa?we ni mtu mzima jaribu kuwaza kiutuuzima,leo umeniudhi sana
 
Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
hatuwezi kuyasemea maana ni ya mke wake, jamii inachoweza kufanya ni kumkumbusha kuwa yeye ni mchunga kwa mkewe ivo yeye kama ameamua kung'atuka kwa kuona ubaya wa muziki amfikishie pia mkewe aache. Lkn hatuwezi kuhukumu kwaujumla wa maamzi yake na tukaita usanii au tukalinganisha na hali ya mkewe kwa sasa, yeye kaamua ivo na suala la mkewe ni jambo la pili.
 
Unaijua BY THE RIVERS OF BABYLON? Kasome Zaburi 137

Kifupi iliimbwa na Bob Marley na BoneyM

mkuu mimi muislam ziwezi kutoa ushaid kupitia biblia [siwezi kukuambia kwanini tutatoka nje ya mada]
ila kwa ufupi ndo huo
video yako sijaiona natumia through freebasics
 
We mshana kuna unalotafuta sio bure,mtu kaacha kufanya mavitu ha haramu bado unakuja kunyakunya eti sikubaliani nae who are you?yeye kamrudia mola wake wewe unawashwa nini sasa?we ni mtu mzima jaribu kuwaza kiutuuzima,leo umeniudhi sana
Lini nilishawahi kukufurahisha?
 
Basi usingemtaja Yesu labda undeaema Issa ningekuelewa
issa bin maryam
yesu mwana mariam
are the same name
TOFAUTI NI KWAMBA WAISLAM WANAMUITA NABII WAKRISTO WANAMWITA MUNGU
HAKUNA TOFAUTI NYINGINE NA MTU NI MMOJA
 
We mshana kuna unalotafuta sio bure,mtu kaacha kufanya mavitu ha haramu bado unakuja kunyakunya eti sikubaliani nae who are you?yeye kamrudia mola wake wewe unawashwa nini sasa?we ni mtu mzima jaribu kuwaza kiutuuzima,leo umeniudhi sana

unajua kuna vitu vingine kama ni mtu mzima inabidi aelewe tu

TAARAAB NI HARAM

~KUSIKILIZA
~KUCHEZA
~KUIMBA PIA

NIELEWEKI NA ZUNGUMZA KWA MINADILI YA UISLAM

WALA USITAKE NIKUPE AYA KATIKA QURAN KAMA TAARAB NI HARAM
KAMA UMESHA WAHI KWENDA DAR LIVE NA IMANI UTAUNGANA MKONO NA MIMI AU KAMA TULISHA KUTANA KATIKA YALE MATAMASHA YETU YA LAKI SI PESA

SASA YEYE MWENYE DINI AMBAYE NI MUISLAM YUSSUF KAONA KWAMBA NILICHOFANYA HAKIMPENDEZI MUNGU

JITU KAFIR LINA TOKA HUKO ETI MZEE YUSSUF AJAACHA MZIKI ILA KAACHA TABIA ZAKE SIJUI ZIPI MALA OOH! TAARABU ASILI SIJUI NINI

HATA MIMI PIA MSHANA UMENI UDHI SANA LEO

YAANI NIME KU SHUSHA HADHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…